JB Ataja Tano Bora ya Movie Zake Alizocheza Tangu Aingie Kwenye Tasnia
JB alibandika mabandiko haya kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM.
“Wiki mbili zilizopita niliwapa nafasi ya kuchagua top 3 ya movie zangu.Leo (Juzi) na mimi naanza kuwapa top 5 yangu tangu nianze kuigiza.NAKWENDA KWA MWANANGU no5.Kesho (Jana) nitawatajia no4.halafu mwisho nitawatajia zilizoongoza kwa mauzo”.
Jana: “Tunaendelea na top 5 zangu tangu nianze kuigiza.Namba 4 DJ BEN.Kesho nitakutajia namba tatu.Atakaye pata nitampa zawadi”.
Haya hebu tuzitaje zingine tupate hiyo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM29 May
DULLY SYKES ATIMIZA MIAKA KUMI NA TANO TANGU AINGIE KWENYE MUZIKI WA BONGO FLEVA
STAA wa Bongo Fleva,Dully Sykes mwaka huu ametimiza miaka 15 tangu aingie kwenye muziki wa Bongo Fleva na ngoma yake ya Julieta ambayo ilihit kwenye redio station zote za hapa nchin,baadaye zikaja Salome,Nyambizi na nyinginezo mpaka leo msanii huyo ameweza kuendelea kuwepo kwenye game ukizingatia ni msanii wa mwanzo wa muziki huo wa bongo fleva.
Ndani ya miaka hiyo kumi na tano Dully ana miliki mijengo, ana watoto watatu, ana album mbili za Historia ya kweli 2002, pamoja na Handsome 2003,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rfD6x6-hbzo/XufZuqFbG3I/AAAAAAALt8M/vY6dhzZuEqkEVtSGT-FWWuZLR2PRNfDiQCLcBGAsYHQ/s72-c/04e0347e-7987-44f7-97f0-71790182b15e.jpg)
WAZIRI MKUU ATAJA MAFANIKIO MAKUBWA YA AWAMU YA TANO
![](https://1.bp.blogspot.com/-rfD6x6-hbzo/XufZuqFbG3I/AAAAAAALt8M/vY6dhzZuEqkEVtSGT-FWWuZLR2PRNfDiQCLcBGAsYHQ/s1600/04e0347e-7987-44f7-97f0-71790182b15e.jpg)
******************************
15 Juni, 2020
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka mitano imepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kurekebisha nidhamu kwa watumishi wa umma na uwajibikaji Serikalini, hivyo kuwezesha...
10 years ago
Bongo Movies23 Feb
Jb: Mzee wa Swaga Ndio Movie Yangu Ninayoipenda Sana Tangu Niaze Kuigiza
Mwigizaji na muongozaji wa fiamu hapa Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameitaja filamu ya Mzee wa Swaga kua ndio bora zaidi kati ya filamu zake zote tangu aanze kuigiza.
“Kosa la defence ...ni goli....nafasi ya 1.ndugu zangu. Tangu nianze kuigiza hii movie naipenda sanaaa....”-JB aliandika.
Wakati ya filamu ya Mzee wa Swaga ambayo imetoka mwanzoni mwa mwaka huu akiitaja kuwa namba moja, namba mbili ilikwenda kwa filamu yake ya 14 Days, tatu, Senior Bachelor , nne, DJ Ben, huku tano akiitaja...
10 years ago
Bongo512 Mar
Matonya ataja sababu za kwanini ngoma zake hazihit kama zamani
9 years ago
Vijimambo18 Sep
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Wazee ‘wanaokimbiza’ kwenye tasnia ya filamu
MARA nyingi katika vyombo mbalimbali vya habari kumekuwepo na taarifa zinazohusu maisha na vibweka mbalimbali vya waigizaji huku wengi wakiwa wale walio katika umri wa ujana. Taarifa zao zimekuwa zikifuatiliwa...
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
Alberto Msando, Nita “Invest”Kwenye Tasnia ya Filamu!!
Mwansheria Kijana, Alberto Msando ameyasema hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya moja kati ya filamu za kibongo, ikiwaonyesha watu wawili wakiwa na bastola amabayo haina magazine.
“Seriously sina tatizo na bongo movie. Ni washkaji zangu sana. Ila kwa hii picha wanaonewa. Ni marafiki zangu. Wako poa mno. Na wanajitahidi. Siku zote mimi nitaendelea kuwasapoti. Siwezi kununua DVD ambazo sio original. Na wala sitajali kiingereza cha "I lap u xoxo". Najua wanajitahidi. Na I will even...
10 years ago
VijimamboAKI NA UKWA WA BONGO WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWENYE TASNIA YA FILAMU
Wasanii wa komedi maarufu kama Aki na Ukwa wa Bongo Muvi wameelezea mafaniko yao kwenye tasnia ya filamu za vichekesho nchini kwa mara ya kwanza tangu wajiingize kwenye filamu mwaka 2010.
Wakizungumza na Komedi Zone, Meya Shabani ambaye ni 'Aki' na Nicholaus Ngoda 'Ukwa' wamesema kuwa...