Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKI NA UKWA WA BONGO WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWENYE TASNIA YA FILAMU

Kushoto ni Meya Shabani a.k.a Aki akiwa na Mwenzake Nicholaus Ngoda a.k.a Ukwa nje ya ofisi yao Aki na Ukwa wa Bongo wakipiga kazi ...
 Hapa wakionesha upande mwengine wa ofisi yao ya International Film Angels
Wasanii wa komedi maarufu kama Aki na Ukwa wa Bongo Muvi wameelezea mafaniko yao kwenye tasnia ya filamu za vichekesho nchini kwa mara ya kwanza tangu wajiingize kwenye filamu mwaka 2010.
Wakizungumza na Komedi Zone, Meya Shabani ambaye ni 'Aki' na Nicholaus Ngoda 'Ukwa' wamesema kuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWA TBL

 Mkulima wa Shayiri akionesha moja ya Ghala lake (Stoo) kwa ajili ya kuhifadhia zana mbalimbali za kilimo ikiwamo utunzaji wa pembejeo, ambapo jengo hilo amelijenga kutokana na fedha za Shayiri.

Baadhi ya Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Shayiri wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa wa  Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha anayesimamia wakulima katika eneo hilo la Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha.
Mkulima wa Shayiri wilayani Monduli Meporoo Losulu akionesha Trekta...

 

9 years ago

Bongo5

Kingwendu adai wasanii wa komedi wataiokoa tasnia ya filamu Bongo

Kingwendu.._full

Mchekeshaji, Rashidi Mwinshehe aka Kingwendu, amesema baada ya wasanii wa filamu za kawaida kushindwa kuendeleza mafanikio aliyoyaacha marehemu Steven Kanumba, wasanii wa wa kuchekesha wanajipanga kufanya mabadiliko ya filamu ndani ya mwaka 2016.

Kingwendu.._full

Mwigizaji huyo ambaye mwaka huu aligombea ubunge katika jimbo la Kisarawe, amekiambia kipindi cha Wasanii cha Pamoja Radio ya nchini Uholanzi kuwa, wasanii wa kuchekesha wamejipanga vizuri kuhakikisha bendera ya Tanzania inapepea zaidi kupitia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee ‘wanaokimbiza’ kwenye tasnia ya filamu

MARA nyingi katika vyombo mbalimbali vya habari kumekuwepo na taarifa zinazohusu maisha na vibweka mbalimbali vya waigizaji huku wengi wakiwa wale walio katika umri wa ujana. Taarifa zao zimekuwa zikifuatiliwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mwigizaji Jack Wolper Ashutumiwa Kumsahau Aliyemtoa Kisanii Katika Tasnia ya Filamu Bongo

Ubuyu Mpya Kutoka Instagram kwenye page ya mrekebishatabia kuhusu Mrembo Mwigizaji Wolper Kumsahau aliyemwingiza katika Tasnia ya Filamu:

'HISTORIA: Je unajua aliyemtoa kisanii Jackline Wolper mpaka kupata umaarufu nchini ni nani? Ni mdada mkali wa wa siku nyingi kwenye masuala ya sana Lucy Komba ambaye hivi sasa anaishi na familia yake nchini Denmark.

Alikutana nae kwenye ofisi moja bongo akamuomba namba ya simu walipoachana baada ya kama dk 10 akamuandikia msg anaomba amsaidie kwenye sanaa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Alberto Msando, Nita “Invest”Kwenye Tasnia ya Filamu!!

Mwansheria Kijana, Alberto Msando ameyasema hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya moja kati ya filamu za kibongo, ikiwaonyesha  watu wawili wakiwa na bastola amabayo haina magazine.

“Seriously sina tatizo na bongo movie. Ni washkaji zangu sana. Ila kwa hii picha wanaonewa. Ni marafiki zangu. Wako poa mno. Na wanajitahidi. Siku zote mimi nitaendelea kuwasapoti. Siwezi kununua DVD ambazo sio original. Na wala sitajali kiingereza cha "I lap u xoxo". Najua wanajitahidi. Na I will even...

 

11 years ago

GPL

UKWA WA BONGO NAYE ASAKA MCHUMBA!

Stori: Hamida Hassan BAADA ya juzikati msanii wa filamu Bongo, Meya Shaban ’Aki wa Bongo’ kuvuta jiko na ndoa yake kuwa
gumzo, mwenzake Nicholaus Ngoda ’Ukwa wa Bongo’ naye amesema anasaka mchumba ili aoe. Akizungumza na Ijumaa juzi, msanii huyo mwenye umri wa miaka 28 alisema, kwa sasa hana mchumba ila anamtegemea Mungu kumuongoza ampate mke sahihi. “Mwenzangu kaoa na mimi sina sababu ya...

 

11 years ago

GPL

AKI WA BONGO MUVI AFUNGA NDOA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan Cherekochereko! Msanii wa filamu za Kibongo, Meya Shaban ‘Aki wa Bongo Muvi’ ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa na msanii mwenzake, Amina Shaban, Ijumaa Wikienda lilikuwepo ndani ya nyumba. Maharusi hao wakisindikizwa na wapambe kuingia ukumbini. Staa huyo wa Sinema ya Devil Kingdom ya mwigizaji Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ alifunga ndoa hiyo Ijumaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani