UKWA WA BONGO NAYE ASAKA MCHUMBA!
![](http://api.ning.com:80/files/ujcza9N5GbJjjlcc*K6MbAterHIbKR9u*O1XiiJA4xcLtngBvnmR4vmO4XcyQL8pqveOnjfhivOHWZYNqspveAkTeJrWbN7j/ukwa.jpg?width=650)
Stori: Hamida Hassan BAADA ya juzikati msanii wa filamu Bongo, Meya Shaban ’Aki wa Bongo’ kuvuta jiko na ndoa yake kuwa gumzo, mwenzake Nicholaus Ngoda ’Ukwa wa Bongo’ naye amesema anasaka mchumba ili aoe. Akizungumza na Ijumaa juzi, msanii huyo mwenye umri wa miaka 28 alisema, kwa sasa hana mchumba ila anamtegemea Mungu kumuongoza ampate mke sahihi. “Mwenzangu kaoa na mimi sina sababu ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboAKI NA UKWA WA BONGO WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWENYE TASNIA YA FILAMU
Wasanii wa komedi maarufu kama Aki na Ukwa wa Bongo Muvi wameelezea mafaniko yao kwenye tasnia ya filamu za vichekesho nchini kwa mara ya kwanza tangu wajiingize kwenye filamu mwaka 2010.
Wakizungumza na Komedi Zone, Meya Shabani ambaye ni 'Aki' na Nicholaus Ngoda 'Ukwa' wamesema kuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzoNl9oSICrmLIYqDA0VurV2ALvYjBlOWJ52vcrfnH2TsqxJUyR9-*TAACqtWMpqPiOEIhIh6xKaTab5nh7djfaJ/RACHEL.jpg?width=650)
RACHEL ASAKA BWANA WA ‘KUMBONJI’ NAYE KENYA
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-BSNE4-w-sRA/VZVMtc0P8II/AAAAAAAAw8M/hBwHT0xRlFI/s72-c/ray%2Bc2.jpg)
Ray C : Naomba kuwatangazia kuwa natafuta mchumba wa kuishi naye milele! Atoa vigezo 10 vya mume amtakaye
![](http://2.bp.blogspot.com/-BSNE4-w-sRA/VZVMtc0P8II/AAAAAAAAw8M/hBwHT0xRlFI/s400/ray%2Bc2.jpg)
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefungua mlango kwa mwanaume yoyote anayetaka kumuoa ajitokeze ilimradi awe na vigezo 10 ambavyo ameviainisha.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Ray C ameandika:
“Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!!
Ila naomba niwambie kabisa masharti
1.Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze
2.Awe...
9 years ago
Bongo504 Jan
Tekno amchana mrembo huyu wa Bongo aliyedanganya amelala naye
![Gigy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Gigy-300x194.jpg)
Msanii wa Nigeria, Tekno amemchana model wa video na msanii mchanga, Gigy Money aliyezusha kuwa amelala naye kwa kupost picha Instagram akiwa naye chumbani.
Gigy Money alipost picha hii Instagram akiwa chumbani na Tecno
Katika kuhakikisha kuwa wanaelewa ujumbe wake, Tekno aliandika ujumbe wake wa Kiswahili (ofcourse aliandikiwa na mtu, wengi wanahisi ameandikiwa na Lulu)
“Hahahahaha we malaya umelala na manager wangu alafu ukaletwa chumbani kwangu maana uliomba upige picha na mimi. Sahivi...
11 years ago
Michuzi18 Feb
KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini
![](https://4.bp.blogspot.com/-yF_B61RPSXE/UwNobcg0nQI/AAAAAAAABqg/22IqbDfuLN4/s1600/OSCAR.jpg)
Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam. Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9EeLqJaZsTv-d62VE70MleGzhEVgVQFl2f0-W-HJXqvJAP99Bmffv976lsWNl2oalDPXNEOHNTYXH2IHgS7oUjX/mainda.jpg?width=650)
MAINDA ASAKA MUME
10 years ago
Habarileo13 Aug
Kerr asaka mshambuliaji
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr anasaka mshambuliaji kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake. Simba ipo kwenye mchakato wa kufanya usajili kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuanza Septemba 22 mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Minziro asaka sita
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Madadi asaka heshima Namibia