Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Minziro asaka sita

Baada ya kuichakaza Mtibwa Sugar na kuvuna pointi tatu, kocha wa JKT Ruvu, Fred Minziro amesema sasa anaielekeza akili yake katika kuhakikisha anashinda mechi mbili kati ya tano zilizosalia ili kubakia Ligi Kuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ligi Daraja la Pili kuanza Oktoba 7, kuchezwa makundi manne ya timu sita sita nyumbani na ugenini

Kwa kuzingatia marekebisho ya Kanuni ya Ligi Daraja la Pili (SDL) yaliyofanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hivi karibuni, SDL kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.
Timu itakayoongoza kundi itacheza Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu wa 2016/2017 wakati ya mwisho katika kila kundi itarudi kucheza Ligi ya Mkoa wake kwa msimu wa 2016/2017. Makundi ya SDL ni kama ifuatavyo; Kundi A ni...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita

MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.

 

10 years ago

GPL

JULIO ATAMBA KUMKALISHA MINZIRO

Kocha mkuu wa Mwadui Jamhuri Kihwelo ‘Julio’. Na Martha Mboma
TIMU ya soka ya Mwadui inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza inatarajiwa kushuka dimbani kesho Alhamisi, kuvaana na JKT Ruvu.Mwadui ambao ndiyo vinara wa kundi B kwenye Ligi Daraja la Kwanza wanatumia mchezo huu kama njia ya kuwafanyia majaribio baadhi ya wachezaji wapya wa kikosi hicho. Akizungumza na Championi, kocha mkuu wa timu hiyo Jamhuri Kihwelo...

 

10 years ago

Mwananchi

Minziro kutibua sherehe Yanga leo?

Yanga inaumana na JKT Ruvu ya Fred Felix Minziro leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, lakini ni kocha mkuu wa kikosi hicho cha wanajeshi anayeweza kutibua hesabu za mwenzake wa Yanga, Hans Pluijm kusaka ubingwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Minziro awadaka wote waliotemwa Yanga


Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro.
Sweetbert Lukonge, Dar es SalaamSIKU chache baada ya Yanga kudaiwa kuwa ina mpango wa kuwatema nyota wake 11 wa kikosi hicho, Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro, ameibuka na kuomba apatiwe wachezaji hao.
Baadhi ya wachezaji ambao Yanga inadaiwa kutaka kuwafungashia virago klabuni hapo ni Jerry Tegete, Hussein Javu, Danny Mrwanda, Nizar Khalfan, Rajabu Zahir, Edward Charles na Hassan Dilunga sababu ikiwa ni kushindwa kuonyesha uwezo wa juu.
Minziro,...

 

11 years ago

Mwananchi

Minziro kuisuka upya JKT Ruvu

Baada ya kuinusuru JKT Ruvu kushuka daraja, Kocha Fred Minziro amesema anakusudia kukisuka upya kikosi chake ikiwamo kusajili wachezaji wapya kila idara ili kuifanya ipate matokeo mazuri msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

Mwananchi

Minziro: Nainoa Yanga kwa mapenzi

>Kocha msaidizi wa Yanga, Fred Felix Minziro amesema hana wasiwasi kuhusu hatima ya kibarua chake kwani amefanya kazi muda wote bila ya mkataba wowote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ushindi wa Simba SC wampa kiburi Minziro

KOCHA Mkuu wa timu ya JKT Ruvu, Feed Felix ‘Mniziro’, amezinanga timu za Simba na Yanga zinazoendekeza makocha wa Kizungu na kuachana na wazawa licha ya kuwa na uwezo na...

 

10 years ago

TheCitizen

Minziro hits at top teams over foreign players

One of the most prominent football coaches in the country, Fred Felix Minziro, has criticised local football giants for allegedly spending a lot of money on recruiting foreign players of “little consequence”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani