Minziro kutibua sherehe Yanga leo?
Yanga inaumana na JKT Ruvu ya Fred Felix Minziro leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, lakini ni kocha mkuu wa kikosi hicho cha wanajeshi anayeweza kutibua hesabu za mwenzake wa Yanga, Hans Pluijm kusaka ubingwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Polisi kutibua sherehe ya Yanga?
Polisi Morogoro itakuwa na kibarua kizito cha kuchelewesha shangwe za ubingwa zilizoandaliwa na viongozi wa Yanga leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Vijimambo22 May
Minziro awadaka wote waliotemwa Yanga
![](http://api.ning.com/files/NHPaItPS5EgdQwVwZzBORM6qr3uv2riR7ULYkPF72RPO-uFVYFERi4hBivNugHGywJlJ9M60zP8qHVYqGA9Oy5LsFyTX6gTy/MINZIRO.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro.
Sweetbert Lukonge, Dar es SalaamSIKU chache baada ya Yanga kudaiwa kuwa ina mpango wa kuwatema nyota wake 11 wa kikosi hicho, Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro, ameibuka na kuomba apatiwe wachezaji hao.
Baadhi ya wachezaji ambao Yanga inadaiwa kutaka kuwafungashia virago klabuni hapo ni Jerry Tegete, Hussein Javu, Danny Mrwanda, Nizar Khalfan, Rajabu Zahir, Edward Charles na Hassan Dilunga sababu ikiwa ni kushindwa kuonyesha uwezo wa juu.
Minziro,...
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Minziro: Nainoa Yanga kwa mapenzi
>Kocha msaidizi wa Yanga, Fred Felix Minziro amesema hana wasiwasi kuhusu hatima ya kibarua chake kwani amefanya kazi muda wote bila ya mkataba wowote.
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Fred Minziro apigiwa chapuo kurejea Yanga
Klabu ya Yanga imesema tayari imepata mrithi wa kocha msaidizi Charles Boniface Mkwassa aliyesaini Taifa Stars kwa miaka miwili.
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Kajitiba ka katiba ni kutubu si kutibua
Ama kweli watu wamechoka. Hebu ona barua ya huyu jamaa. Makengeza Nilipokuwa napita zangu juzi nikamsikia jamaa katoa kitendawili cha kisasa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq*bkVy7*I29pwpKpLE*H-BPcH4YaO-CZGcCWmsupAqofxui727bH9DH4U25hsi97GLdXSKbee58ScJby3IJjN66/wema.jpg?width=650)
WEMA ADAIWA KUTIBUA NDOA YA PETIT MAN
MUSA MATEJA NA IMELDA MTEMA Hatimaye lile sekeseke la ndoa ya meneja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaosimamiwa na Kampuni ya Endless Fame, Petit Man na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Platnumz limemdondokea Wema Isaac Sepetu anayedaiwa kuitibua kiasi cha kuwatenganisha na kila mmoja kuchukua hamsini zake. Habari kutoka chanzo chetu zilidai kwamba, Wema amehusika kwa asilimia kubwa kutibua...
9 years ago
Habarileo27 Dec
Yanga kila siku kwao sherehe, Simba bado
YANGA jana ilizidi kuchanja mbuga kuelekea kutetea taji lake la Ligi Kuu baada ya jana kuifunga Mbeya City mabao 3-0. Ushindi huo umeifanya Yanga ifikishe pointi 33 kwenye msimamo ikiwa kileleni.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania