Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fred Minziro apigiwa chapuo kurejea Yanga

Klabu ya Yanga imesema tayari imepata mrithi wa kocha msaidizi Charles Boniface Mkwassa aliyesaini Taifa Stars kwa miaka miwili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Samia apigiwa chapuo Umakamu wa Rais

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba jana walisifu uongozi uliooneshwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu na kupendekeza ikiwezekana katika hiyo dhana ya uwakilishi sawa maarufu 50/50, ateuliwe kuwa Mgombea Mwenza wa mgombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.

 

10 years ago

Michuzi

Spika Makinda apigiwa chapuo Urais Bunge la SADC


 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongea na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Bunge la SADC Mhe. Sylvianne Valmont kutoka Bunge la Ushelisheli  alipokutana nae wakati wa Mkutano wa 36 wa Umoja huo unaoendelea Mjini Victoria Falls Zimbabwe. Makinda anagombea nafasi ya Urais wa Chama hicho. Kati  ni Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mhe. Adadi Rajabu.Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikiliza  akiwa katika mazungumzo na Mjumbe kutoka Bunge la Swaziland Mhe. Sikhumbazo Ndlovu kuhusu nia...

 

11 years ago

Mwananchi

Minziro: Nainoa Yanga kwa mapenzi

>Kocha msaidizi wa Yanga, Fred Felix Minziro amesema hana wasiwasi kuhusu hatima ya kibarua chake kwani amefanya kazi muda wote bila ya mkataba wowote.

 

10 years ago

Mwananchi

Minziro kutibua sherehe Yanga leo?

Yanga inaumana na JKT Ruvu ya Fred Felix Minziro leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, lakini ni kocha mkuu wa kikosi hicho cha wanajeshi anayeweza kutibua hesabu za mwenzake wa Yanga, Hans Pluijm kusaka ubingwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Minziro awadaka wote waliotemwa Yanga


Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro.
Sweetbert Lukonge, Dar es SalaamSIKU chache baada ya Yanga kudaiwa kuwa ina mpango wa kuwatema nyota wake 11 wa kikosi hicho, Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro, ameibuka na kuomba apatiwe wachezaji hao.
Baadhi ya wachezaji ambao Yanga inadaiwa kutaka kuwafungashia virago klabuni hapo ni Jerry Tegete, Hussein Javu, Danny Mrwanda, Nizar Khalfan, Rajabu Zahir, Edward Charles na Hassan Dilunga sababu ikiwa ni kushindwa kuonyesha uwezo wa juu.
Minziro,...

 

5 years ago

CCM Blog

YANGA YAWACHAPA NDANDA 3-2 NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU


Na Mwandshi Wetu, DAR ES SALAAM
VIGOGO Yanga SC wametokea nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Ndanda SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unairejesha Yanga SC nafasi ya pili, ikifikisha pointi 60 katika mchezo wa 32, sasa inazidiwa pointi 18 na mabingwa watetezi, SImba SC ambao wana mechi moja mkononi.  
Katika mchezo wa leo uliochezeshwa na refa Raphael Ikambi wa Morogoro aliyesaidiwa na Sunday Komba wa Kilimanjaro na Credo Mbuya wa Mbeya,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli apigiwa kampeni na Mrema

 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema mara baada ya kukutana njia panda ya Himo.

 Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema akizungumza mbele ya mgombea wa urais kupitia CCM na kuwataka wananchi wa Vunjo kumpigia kura mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwani ni rafiki wa kweli kwa maendeleo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani