YANGA YAWACHAPA NDANDA 3-2 NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU
![](https://1.bp.blogspot.com/-EN1Io4j8RAs/Xvdw_d7FCWI/AAAAAAADdgU/52s46Ef3TCMWhLdFwFRP6nSHXWmj2uz0ACNcBGAsYHQ/s72-c/1.jpeg)
Na Mwandshi Wetu, DAR ES SALAAM
VIGOGO Yanga SC wametokea nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Ndanda SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unairejesha Yanga SC nafasi ya pili, ikifikisha pointi 60 katika mchezo wa 32, sasa inazidiwa pointi 18 na mabingwa watetezi, SImba SC ambao wana mechi moja mkononi.
Katika mchezo wa leo uliochezeshwa na refa Raphael Ikambi wa Morogoro aliyesaidiwa na Sunday Komba wa Kilimanjaro na Credo Mbuya wa Mbeya,...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Ndanda FC na mikakati Ligi Kuu Tanzania Bara
HISTORIA ya soka ya Mkoa wa Mtwara ni kama imeandikwa upya baada ya timu ya Ndanda FC kuwapa faraja wapenzi na mashabiki wa soka ya kuona Ligi Kuu Tanzania bara...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
CDA yapania kurejea Ligi Kuu
TIMU ya CDA Dodoma inayoshiriki Ligi ya Mkoa, imetamba kujiandaa vema msimu huu ili iweze kutwaa ybungwa na hatimaye kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL). Mikakati hiyo imekuja kwa lengo...
9 years ago
Mwananchi10 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Ndanda kuchele kweli au giza litaendelea?
5 years ago
BBCSwahili28 May
Ligi kuu Uingereza kurejea tarehe 17 Juni
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
AFC yaanza safari kurejea Ligi Kuu
TIMU ya AFC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Arusha baada ya kuipa kipigo cha mbwa mwizi Laibon ya Longido kwa mabao 9-1 katika mchezo wa mwisho wa hatua ya...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Tunahimiza maandalizi raundi ya pili Ligi Kuu
RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaanza Januari 22 kwa timu 14 kuendelea na kampeni ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo unaoshikiliwa na Yanga, waliomaliza ngwe ya kwanza...