CDA yapania kurejea Ligi Kuu
TIMU ya CDA Dodoma inayoshiriki Ligi ya Mkoa, imetamba kujiandaa vema msimu huu ili iweze kutwaa ybungwa na hatimaye kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL). Mikakati hiyo imekuja kwa lengo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili28 May
Ligi kuu Uingereza kurejea tarehe 17 Juni
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
AFC yaanza safari kurejea Ligi Kuu
TIMU ya AFC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Arusha baada ya kuipa kipigo cha mbwa mwizi Laibon ya Longido kwa mabao 9-1 katika mchezo wa mwisho wa hatua ya...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-EN1Io4j8RAs/Xvdw_d7FCWI/AAAAAAADdgU/52s46Ef3TCMWhLdFwFRP6nSHXWmj2uz0ACNcBGAsYHQ/s72-c/1.jpeg)
YANGA YAWACHAPA NDANDA 3-2 NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU
Na Mwandshi Wetu, DAR ES SALAAM
VIGOGO Yanga SC wametokea nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Ndanda SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unairejesha Yanga SC nafasi ya pili, ikifikisha pointi 60 katika mchezo wa 32, sasa inazidiwa pointi 18 na mabingwa watetezi, SImba SC ambao wana mechi moja mkononi.
Katika mchezo wa leo uliochezeshwa na refa Raphael Ikambi wa Morogoro aliyesaidiwa na Sunday Komba wa Kilimanjaro na Credo Mbuya wa Mbeya,...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
11 years ago
Mwananchi16 May
CDA chupuchupu Ligi ya Mabingwa
9 years ago
StarTV19 Aug
IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..
WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...
11 years ago
Mwananchi17 May
CDA, Bulyanhulu jino kwa jino Ligi ya Mabingwa
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.
TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE
Kagera Sugar – African Sports 16:00 EAT
Maji Maji – Azam 16:00 EAT
Mwadui – Ndanda 16:00 EAT
Prisons – Mtibwa...