Magufuli apigiwa kampeni na Mrema
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema mara baada ya kukutana njia panda ya Himo.

Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema akizungumza mbele ya mgombea wa urais kupitia CCM na kuwataka wananchi wa Vunjo kumpigia kura mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwani ni rafiki wa kweli kwa maendeleo ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Mrema, Dk Magufuli wapigiana kampeni Vunjo
10 years ago
Mtanzania09 Oct
Magufuli ampigia debe Mrema
*Asema akishindwa atamtafutia kazi nyingine
NA BAKARI KIMWANGA, VUNJO
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama wananchi wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hawataki kukichagua chama hicho katika nafasi ya ubunge, ni bora wamchague mgombea wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo jana, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika mji mdogo wa Himo.
Alisema pamoja na kutaka Mrema achaguliwe, anahitaji zaidi...
10 years ago
TheCitizen09 Oct
Magufuli ‘backs’ Mrema for Vunjo
10 years ago
Vijimambo
UMESIKIA HII KAULI YA MREMA BAADA YA KUKOSA WATU KWENYE KAMPENI ZAKE? SOMA HAPA

Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake.Akizungumza na waandishi wa habari jimboni Vunjo, Mrema amepeleka lawama moja kwa moja kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, kwa kumchafua kwa matusi kwenye kampeni pamoja na kufanyiwa ubaguzi.“Siwalaumu wanachama wa CHADEMA, viongozi wao ndio wenye fujo na mimi, sasa najiuliza tatizo ni nini uzee wangu?...
9 years ago
Habarileo05 Nov
Mrema amkumbusha Magufuli ahadi yake
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema amempongeza Rais Mteule, Dk John Magufuli kwa kushinda urais na kumuomba katika uongozi wake amfikirie.
9 years ago
Habarileo02 Dec
Mrema asema hajutii kumnadi Rais Magufuli
MWENYEKITI wa Taifa wa chama cha siasa cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema amesema hakufanya makosa na wala hajutii kumnadi Rais John Magufuli kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa sababu alitambua Watanzania wamelamba dume la maendeleo.
10 years ago
Michuzi
Mrema ampigia debe Dkt John Pombe Magufuli



10 years ago
Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)09 Oct
Poll countdown drama as Slaa, Mrema now endorse Magufuli
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
WITH the countdown to the general election approaching the big day, there has come a dramatic turn of events. 4 Comments. The National Chairman of the opposition Tanzania Labour Party (TLP), Mr Augustino Mrema, and former Chadema Secretary ...
5 years ago
CCM BlogTUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS TANZANIA 2015: DK MAGUFULI AVUNJA REKODI YA UKAWA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI MBEYA