Mrema, Dk Magufuli wapigiana kampeni Vunjo
Katika hali ambayo haikutarajiwa, Mwenyekiti wa TLP taifa, Augustino Mrema leo amemnadi mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli kuwa ndiye anafaa kuwa rais wakati chama chake kikiwa kimemsimamisha, Macmillian Lyimo kuwania nafasi hiyo ya urais kwa tiketi ya TLP.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen09 Oct
Magufuli ‘backs’ Mrema for Vunjo
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Magufuli apigiwa kampeni na Mrema
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema mara baada ya kukutana njia panda ya Himo.
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema akizungumza mbele ya mgombea wa urais kupitia CCM na kuwataka wananchi wa Vunjo kumpigia kura mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwani ni rafiki wa kweli kwa maendeleo ya...
10 years ago
MichuziMrema aunguruma Vunjo
10 years ago
GPLMREMA ALALAMIKIA WAWEKEZAJI VUNJO
10 years ago
MichuziMREMA ALIA NA ARDHI YA VUNJO
10 years ago
Tanzania Daima20 Oct
Mrema kwisha kazi Vunjo
HALI ya kisiasa ya Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro, Augustine Mrema, (TLP), imezidi kuwa mbaya baada ya ngome yake kuzidi kumeguka na kutangaza kumuunga mkono Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Michuzi12 Nov
MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10