Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MREMA ALALAMIKIA WAWEKEZAJI VUNJO

Mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema (kushoto) akielezea mgogoro uliopo baina ya mwekezaji na wananchi wa jimbo lake (kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Vicent Tiganya) pamoja na wanahabari pembeni. .... Mrema (wa nne kutoka kushoto) akiwa ameambatana na baadhi ya wananchi wa Jimbo la Vunjo Moshi (kushoto) wakati akizungumza na wanahabari.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mrema aunguruma Vunjo

Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Kata ya Makuyuni, Badi Mandali akizungumza mara baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa Tanzania Labour Party (TLP) katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Kata ya Makuyuni, Himo mkoani Kilimanjaro, juzi. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa chama hicho, Augustine Mrema na mkewe Rose Mrema.Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustine Mrema akiongoza maandamano ya wakazi wa Kijiji cha Lole, Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro mara baada ya kumaliza mkutano...

 

10 years ago

Michuzi

MREMA ALIA NA ARDHI YA VUNJO

 Mbunge wa jimbo la Vunjo, Augustino Mrema akitetea uchukuliwaji wa kiwanja kilicho chukuliwa na wawekezaji badala ya kutumika kama ilivyopangwa na mmiriki wa kiwanja kilichopo katika kijiji cha Himo eneo la Mieresini,Jimboni Vunjo, katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa habari MAELEZO  jijini Dar es Salaam leo na kulia ni  Mkurugezi Msaidizi wa IDARA YA HABARI MAELEZO Tiganya Vincent.    Mwakilishi wa familia ya mzee Lekule, Denis Lekule  akizungumza na wandishi wa habari hawapo...

 

9 years ago

TheCitizen

Magufuli ‘backs’ Mrema for Vunjo

CCM presidential candidate John Magufuli raised eyebrows when he decided to tout Vunjo Parliamentary Seat aspirant under the Tanzania Labour Party (TLP) ticket, Mr Augustino Mrema, saying the latter has a good background and the best leadership experience.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mrema kwisha kazi Vunjo

HALI ya kisiasa ya Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro, Augustine Mrema, (TLP), imezidi kuwa mbaya baada ya ngome yake kuzidi kumeguka na kutangaza kumuunga mkono Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James...

 

9 years ago

Mwananchi

Mrema, Dk Magufuli wapigiana kampeni Vunjo

Katika hali ambayo haikutarajiwa, Mwenyekiti wa TLP taifa, Augustino Mrema leo amemnadi mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli kuwa  ndiye anafaa kuwa rais wakati chama chake kikiwa kimemsimamisha, Macmillian Lyimo kuwania nafasi hiyo  ya urais kwa tiketi ya TLP.

 

10 years ago

Mwananchi

TLP yampitisha Mrema kugombea ubunge Vunjo

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imempendekeza Mwenyekiti wa chama hicho, Augustine Mrema kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo.

 

10 years ago

Habarileo

Vunjo yageuka uwanja wa sinema ya Mbatia, Mrema

James MbatiaJIMBO la Vunjo mkoani Kilimanjaro, limegeuka ‘steji’ ya sinema ya kuwania ubunge kati ya Mbunge wa sasa, Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustino Mrema na mpinzani wake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Mbunge wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.

 

10 years ago

Michuzi

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO

Mkutano wa hadhara wa chama cha Tanzania Labour (TLP) uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Agustine Mrema jirani na matanki ya Maji katika kijiji cha Mieresini wilaya ya Moshi vijijini.Afisa uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Frolah Nguma (aliyesimama)akitoa ufafanuzi juu ya maswala ya maji baada ya Mbunge Mrema kumtaka kufanya hivyo muda mfupi baada ya maofisa wa Mamlaka hiyo kufika katika Matenki ya Maji kwa ajili ya ukaguzi wa kawaida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani