Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Minziro awadaka wote waliotemwa Yanga


Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro.
Sweetbert Lukonge, Dar es SalaamSIKU chache baada ya Yanga kudaiwa kuwa ina mpango wa kuwatema nyota wake 11 wa kikosi hicho, Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro, ameibuka na kuomba apatiwe wachezaji hao.
Baadhi ya wachezaji ambao Yanga inadaiwa kutaka kuwafungashia virago klabuni hapo ni Jerry Tegete, Hussein Javu, Danny Mrwanda, Nizar Khalfan, Rajabu Zahir, Edward Charles na Hassan Dilunga sababu ikiwa ni kushindwa kuonyesha uwezo wa juu.
Minziro,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Minziro kutibua sherehe Yanga leo?

Yanga inaumana na JKT Ruvu ya Fred Felix Minziro leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, lakini ni kocha mkuu wa kikosi hicho cha wanajeshi anayeweza kutibua hesabu za mwenzake wa Yanga, Hans Pluijm kusaka ubingwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Minziro: Nainoa Yanga kwa mapenzi

>Kocha msaidizi wa Yanga, Fred Felix Minziro amesema hana wasiwasi kuhusu hatima ya kibarua chake kwani amefanya kazi muda wote bila ya mkataba wowote.

 

10 years ago

Mwananchi

Fred Minziro apigiwa chapuo kurejea Yanga

Klabu ya Yanga imesema tayari imepata mrithi wa kocha msaidizi Charles Boniface Mkwassa aliyesaini Taifa Stars kwa miaka miwili.

 

11 years ago

GPL

Maximo asimamisha usajili wote Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, Nicodemus Jonas na Martha Mboma
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amesema kuwa kwa sasa hakuna haja ya kuongeza mchezaji mwingine, badala yake anataka kuangalia viwango vya wachezaji alionao kabla ya kutoa tathmini ya kuhitaji usajili au la. Maximo alisema kuwa, ni ngumu kwa sasa kufanya usajili kwa kuwa kuna wachezaji wa kimataifa ambao hajawaona uwanjani, lakini iwapo...

 

10 years ago

GPL

Kiungo mpya awafunika mastaa wote Yanga

Kiungo mpya wa Yanga, Geofrey Mwashiuya. Wilbert Molandi, Dar es Salaam
KIUNGO mpya wa Yanga, Geofrey Mwashiuya, hadi hivi sasa ndiye mchezaji aliyeng’ara kwenye mazoezi ya timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Mwashiuya alisajiliwa na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo la msimu uliopita, lakini alishindwa kuonekana uwanjani kuonyesha makali yake kutokana na timu yake ya Kimondo kudai bado ina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliotemwa Azam FC hawa hapa

HATIMAYE uongozi wa Azam FC umetaja majina ya wachezaji iliowatema huku ikidaiwa kuwa mbioni kumnasa kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’, ambaye pia anawaniwa na Simba. Azam FC, awali ilitangaza...

 

10 years ago

Mwananchi

Waliotemwa Chadema washinda ACT Wazalendo

Kada aliyewania ubunge kupitia Chadema katika Jimbo la Kalenga na kutemwa kwenye kura za maoni, Mwanahamisi Muyinga ameibuka mshindi wa kura hizo katika jimbo hilohilo kupitia chama cha ACT-Wazalendo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani