Kiungo mpya awafunika mastaa wote Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NagjRItG3EFv5MTHiJTQhxIVklTv1LsHYf-snXHiGvSufJ8*kkQgCMxUydzPxP0FhDIN6FekJq1BNVelU81h7M20/ttt.jpg?width=650)
Kiungo mpya wa Yanga, Geofrey Mwashiuya. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KIUNGO mpya wa Yanga, Geofrey Mwashiuya, hadi hivi sasa ndiye mchezaji aliyeng’ara kwenye mazoezi ya timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Mwashiuya alisajiliwa na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo la msimu uliopita, lakini alishindwa kuonekana uwanjani kuonyesha makali yake kutokana na timu yake ya Kimondo kudai bado ina...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMq0cPseOfPvVC5zMNI1vxETx*5FksPveytZ2qX5Hkcy6bZZeZI06qoeW6*rxBV8A5DLtsl8wfMGDqS*gN0EJvH3/yanga.gif?width=650)
Yanga yasajiliwa kiungo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIn7jqG4WEY9*ym7V-JbXVosJf1oHaV0q65ragfzZCO5TTpdCMbgCjnvhwV84hV2qSlsj3Iplo3eZ95rPo8KxR8k/yanga.jpg?width=650)
Yanga yasajili kiungo usiku
9 years ago
Habarileo22 Dec
Yanga kumlea kiungo wa Rayon
- JONES Na Grace Mkojera KLABU ya Yanga imesema kiungo wa Rayon Sports Jerome Sina ataendelea kuwepo kwenye kikosi cha timu hiyo kujinoa kwa mazoezi wakiendelea kutazama kiwango chake.
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Saa 48 za hatari kwa kiungo Yanga SC
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/T*Jd5VJ-te1jPfCpsfIYQ3CWz8dpN1aoDCtAnhP0NHaN4i0hxKYd6fU*Ewp0jmt0Lu2g91U3nmHHb0Ku3X-YEJVkYdl35yi8/kiungo.gif?width=650)
Kiungo Yanga apoteza fahamu uwanjani
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UQ22ksITao8/VHxuKjkl2SI/AAAAAAAG0kk/Ikvu1rj3ZHU/s72-c/emerson_310_230.jpg)
Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera amwaga wino Yanga
![](http://2.bp.blogspot.com/-UQ22ksITao8/VHxuKjkl2SI/AAAAAAAG0kk/Ikvu1rj3ZHU/s1600/emerson_310_230.jpg)
Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera Neves Roque pichani kushoto akisaini mkataba leo jijini Dar,wa kutumikia Klabu ya Young Africans,Kulia ni Afisa Habari wa klabu hiyo Baraka Kizuguto.
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikimpa mkataba wa mwaka mmoja kiungo Emerson De Oliveira, watani zao Simba wamemtema rasmi mshambuliaji Paul Kiongera.
Emerson amesaini mkataba huo baada ya benchi la ufundi chini ya Mbrazil Marcio Maximo kuridhika na kiwango chake na sasa ataitumikia timu hiyo ya Jangwani.
Emerson...
9 years ago
Bongo502 Oct
Beckham na Zidane kurejea uwanjani November kwenye mechi ya hisani ya mastaa wote
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyS4svDFnn55HFEHmTKcHlEBFL*JBLm5dicdimohx60sxiNIV20eSRVo*M3j1zFCXLeBa5pZTsGootx56Bw7l*G2/MAXI.jpg)
Maximo asimamisha usajili wote Yanga
10 years ago
Vijimambo22 May
Minziro awadaka wote waliotemwa Yanga
![](http://api.ning.com/files/NHPaItPS5EgdQwVwZzBORM6qr3uv2riR7ULYkPF72RPO-uFVYFERi4hBivNugHGywJlJ9M60zP8qHVYqGA9Oy5LsFyTX6gTy/MINZIRO.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro.
Sweetbert Lukonge, Dar es SalaamSIKU chache baada ya Yanga kudaiwa kuwa ina mpango wa kuwatema nyota wake 11 wa kikosi hicho, Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro, ameibuka na kuomba apatiwe wachezaji hao.
Baadhi ya wachezaji ambao Yanga inadaiwa kutaka kuwafungashia virago klabuni hapo ni Jerry Tegete, Hussein Javu, Danny Mrwanda, Nizar Khalfan, Rajabu Zahir, Edward Charles na Hassan Dilunga sababu ikiwa ni kushindwa kuonyesha uwezo wa juu.
Minziro,...