Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yasajiliwa kiungo

Na Sweetbert Lukonge
KLABU ya soka ya Yanga jana iliwapa mikataba mipya wachezaji wake watatu, kiungo Omega Seme na mabeki Oscar Joshua na Juma Abdul. Yanga imeanza kucharuka na kuwapa wachezaji wake mikataba mipya baada ya Didier Kavumbagu na Frank Domayo kutimkia Azam FC hivi karibuni. Ni sawa na kusema kuwa Omega ndiye mchezaji mpya kwenye lisiti hiyo kwa kuwa msimu uliopita hakuwa na kikosi hicho baada ya kupelekwa Prisons...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yanga yasajili kiungo usiku

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
KLABU ya Yanga, jana usiku ilitarajiwa kumsainisha kiungo wa Taifa Stars, Said Juma.
Inadaiwa kuwa, aliyekuwa kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ndiye aliyetoa mapendekezo ya kusajiliwa kwa kiungo huyo. Jana usiku, Yanga ilitarajiwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili lakini kama ingeshindikana jana, basi anaweza akasajiliwa ndani ya siku mbili...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga kumlea kiungo wa Rayon

- JONES Na Grace Mkojera KLABU ya Yanga imesema kiungo wa Rayon Sports Jerome Sina ataendelea kuwepo kwenye kikosi cha timu hiyo kujinoa kwa mazoezi wakiendelea kutazama kiwango chake.

 

10 years ago

Mwananchi

Saa 48 za hatari kwa kiungo Yanga SC

Kiungo mpya wa Yanga, Lansana Kamara kutoka Sierra Leone ana saa 48 ngumu, hatari kwake kuishi nchini akisubiri majaliwa yake kwenye klabu hiyo ya mitaa ya Twiga na Jangwani.

 

10 years ago

GPL

Kiungo Yanga apoteza fahamu uwanjani

Kiungo mkabaji wa Yanga, Said Juma Makapu akitolewa uwanjani baada ya kuanguka na kupoteza fahamu.
Nassor Gallu,Tanga
FURAHA ya wachezaji wa Yanga juu ya ushindi wao dhidi ya Mgambo JKT ilizimika ghafla baada ya kiungo mkabaji wa timu hiyo, Said Juma Makapu kuanguka na ‘kuzimia’ akiwa uwanjani.Katika mchezo huo ambao Yanga walipata ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Amissi Tambwe na Simon Msuva, kiungo huyo...

 

10 years ago

GPL

Kiungo mpya awafunika mastaa wote Yanga

Kiungo mpya wa Yanga, Geofrey Mwashiuya. Wilbert Molandi, Dar es Salaam
KIUNGO mpya wa Yanga, Geofrey Mwashiuya, hadi hivi sasa ndiye mchezaji aliyeng’ara kwenye mazoezi ya timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Mwashiuya alisajiliwa na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo la msimu uliopita, lakini alishindwa kuonekana uwanjani kuonyesha makali yake kutokana na timu yake ya Kimondo kudai bado ina...

 

10 years ago

Michuzi

Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera amwaga wino Yanga



Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera Neves Roque pichani kushoto akisaini mkataba leo jijini Dar,wa kutumikia Klabu ya Young Africans,Kulia ni Afisa Habari wa klabu hiyo Baraka Kizuguto.

Dar es Salaam. Wakati Yanga ikimpa mkataba wa mwaka mmoja kiungo Emerson De Oliveira, watani zao Simba wamemtema rasmi mshambuliaji Paul Kiongera.
Emerson amesaini mkataba huo baada ya benchi la ufundi chini ya Mbrazil Marcio Maximo kuridhika na kiwango chake na sasa ataitumikia timu hiyo ya Jangwani.
Emerson...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magari 68 yenye majina binafsi yasajiliwa TRA

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesajili magari yenye majina binafsi 68, ambayo yameipatia serikali sh milioni 340. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Yeremia Mbaghi, alisema hayo hivi...

 

10 years ago

Habarileo

Kiungo Mzimbabwe atua Simba

KIUNGO mkabaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Justice Majabvi aliwasili jana na kwenda moja kwa moja katika kambi ya Simba iliyopo Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiungo Esperance atoa siri

Kiungo wa zamani wa Esperance ya Tunisia, Jackson Mayanja amesema njia pekee ya Yanga kuifunga Etoile du Sahel ni kucheza kwa nidhamu na kushambulia mwanzo mwisho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani