Kiungo Esperance atoa siri
Kiungo wa zamani wa Esperance ya Tunisia, Jackson Mayanja amesema njia pekee ya Yanga kuifunga Etoile du Sahel ni kucheza kwa nidhamu na kushambulia mwanzo mwisho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Oct
Kiungo Toto Africans atoa somo
KIUNGO mchezeshaji wa Toto Africans ya Mwanza, Abdallah Seseme, amesema timu hiyo ina uwezo wa kufanya vizuri kwenye ligi ya msimu huu endapo wachezaji wenzake watajitambua.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NC-SjOnOt3x99ZlK81uLU-izWj1n2kURB6T5pI5dKStoYYrY-F0yXBikcnmm3DYISqDRqn6-QLis96S1axrq4-/freemason.jpg?width=650)
BINTI MIAKA 16 ATOA SIRI ZA FREEMASON
10 years ago
Vijimambo18 Dec
Mkwasa atoa siri nzito Yanga
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Boniphace-Mkwasa--December18-2014.jpg)
Ofisa Mtaalam wa Mafunzo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Mkwasa amesema ana mkataba wa kuinoa Yanga aliopewa na uongozi wa Wanajangwani kabla ya kuchezwa kwa mechi ya 'Nani Mtani Jembe 2'.
Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi, Yanga ilipokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Simba, matokeo ambayo yamewafukuzisha kazi aliyekuwa Kocha Mkuu, Mbrazil Márcio...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Kocha atoa siri za Mbeya City
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*C1ULBW*XdrfP-wCXKwU8kE0PTCLgEfOtnGG7zoBjJ8eCuGmo3FDNARYIkVjSwFbm8pAMOGThwF-JekAnIX1G-M/pluijm.jpg)
Pluijm atoa siri ya Okwi kuondoka Yanga
10 years ago
Bongo Movies08 Mar
Mainaki Atoa Siri za Mademu Bongo Movie
Staa wa Bongo movie aliyejizolea umaarufu kwa kunadiwa kuwa na mahusiano na baadhi ya wasanii nyota katika tasnia ya filamu, Manaiki Sanga ametoa ya mwaka pale aliposema kuwa kabla ya kuwa karibu na wasanii hao alikuwa akiamini ni vigumu kuwa na mahusiano na wasanii lakini hali ni kinyume.
Msanii huyo anasema kuwa watu wengi wanaamini kuwa wasanii wa kike ni watu aghari na si rahisi kuwa na mahusiano na wanaume wasio na fedha kumbe ni tofauti na matarajio ya wengi na hauwezi kulibaini hilo...
10 years ago
Habarileo09 Jun
Shein atoa siri kudumu serikali ya kitaifa
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema uvumilivu wa kisiasa na kuheshimu Katiba na sheria ndio siri ya mafanikio ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyo chini ya mfumo wa Umoja wa Kitaifa.
10 years ago
GPLFLORA ATOA USHAHIDI KESI YA MBASHA KWA SIRI
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76797000/jpg/_76797568_165842525.jpg)
Last chance for Esperance