Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein atoa siri kudumu serikali ya kitaifa

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema uvumilivu wa kisiasa na kuheshimu Katiba na sheria ndio siri ya mafanikio ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyo chini ya mfumo wa Umoja wa Kitaifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DK SHEIN AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NA KUSEMA ATAENDELEZA KUUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha Mapinduzi pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Mpira Konde Kisiwani Pemba kuendelea na Kampeni Kisiwani Pemba.Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi waliofika katika uwanja wa kunde kuhudhuria mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.wakati akiwasili katika viwanja hivyo vya mpira Konde...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Aendelea na Kampeni, asema Ataendeleza Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Kuleta Maendeleo

Wanachama wa CCM Wakimshangilia Mgombea wao wa Urais Dk Shein, wakati akiwasili katika viwanja vya mpira Konde kwa ajili ya mkutano wake wa Tatu wa Kampeni zake kisiwani Pemba.Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakati wa mkutano wake wa Kampeni na kuwataka kuichagua CCM kuzi kuwaletea maendeleo katika miradi mbalimbali na kuendelea kuongoza Zanzibarb kwa misingi ya Sheria na haki kwa maendeleo ya Wazanzibar.Mgombea...

 

9 years ago

Bongo5

Steve RnB aeleza siri ya kudumu kwenye bendi ya Inafrika

Steve Rnb

Steve RnB ni muimbaji ambaye amedumu kwenye bendi ya Inafrika kwa muda mrefu, huku akiendelea kutoa kazi zake za binafsi. Ameelezea nafasi aliyopewa kwenye bendi hiyo na kumfanya adumu nayo kwa muda mrefu.

Steve Rnb

“Nilivyoingia Inafrika yaani pale mimi sikukaribishwa kama mtu amekuja kutembea, mimi nilifika pale nimepewa kama nafasi kwamba you’re a lead singer yaani hiyo ndio nafasi yangu.” Alisema Steve kupitia XXL ya Clouds Fm. “Tuko watu saba na kila mtu ana kazi ya kufanya….So pale Inafrika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa watoboa siri

WANAFUNZI waliofanya vizuri kitaifa wa darasa la saba mwaka jana ambao wote wanatoka Shule ya Tusiime ya Tabata, Dar es Salaam, wameelezea siri ya mafanikio yao kuwa ni kusoma kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA KUDUMU WA UMOJA WA MATAIFA AUGUSTINE MAIGA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani Mhe,Augustine Maiga alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani Mhe,Augustine Maiga alipofika Ikulu Mjini Unguja...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK.SHEIN AHAKIKI TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA ZANZIBAR


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika foleni akisubiri zamu yake katika zoezi la Uhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la WApiga Kura Zanzibar , katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jaji.Hamid Mahmoud,(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihakiki Taarifa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiungo Esperance atoa siri

Kiungo wa zamani wa Esperance ya Tunisia, Jackson Mayanja amesema njia pekee ya Yanga kuifunga Etoile du Sahel ni kucheza kwa nidhamu na kushambulia mwanzo mwisho.

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA KITAIFA YA RIADHA ZANZIBAR

Mwashungi Tahir-Maelezo Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika mashindano ya Kitaifa ya Riadha ya wilaya ambayo yanatarajiwa kufanyika katika kiwanja cha Amaani Disemba 26-27 mwaka huu.
Mashindano hayo yaliyodhaminiwa na Rais Shein kwa lengo la kukuza sekta ya michezo nchini yametayarishwa na Baraza la michezo la Taifa Zanzibar (BMTZ) kwa kushirikiana na chama cha Riadha (ZAAA) Hayo yameelezwa leo na...

 

11 years ago

GPL

BINTI MIAKA 16 ATOA SIRI ZA FREEMASON

Na Waandishi Wetu NI lipi hujasikia? Linaweza kuwa hili! Binti mmoja aliyetambulishwa kwa jina la  Fauzia (jina la mbele lipo), mwenye umri wa miaka 16, mkazi wa Kigogo jijini Dar amedai kutumikia nafasi ya umalkia katika imani yenye utata duniani ya Freemason, Uwazi linakudondoshea. Binti Fauzia akiwa amepozi nyumbani kwao maeneo ya Kigogo jijini Dar es Salaam. Binti huyo alikwenda mbele zaidi kwa kudai kwamba ili kujiunga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani