Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK SHEIN AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NA KUSEMA ATAENDELEZA KUUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha Mapinduzi pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Mpira Konde Kisiwani Pemba kuendelea na Kampeni Kisiwani Pemba.Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi waliofika katika uwanja wa kunde kuhudhuria mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.wakati akiwasili katika viwanja hivyo vya mpira Konde...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Aendelea na Kampeni, asema Ataendeleza Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Kuleta Maendeleo

Wanachama wa CCM Wakimshangilia Mgombea wao wa Urais Dk Shein, wakati akiwasili katika viwanja vya mpira Konde kwa ajili ya mkutano wake wa Tatu wa Kampeni zake kisiwani Pemba.Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakati wa mkutano wake wa Kampeni na kuwataka kuichagua CCM kuzi kuwaletea maendeleo katika miradi mbalimbali na kuendelea kuongoza Zanzibarb kwa misingi ya Sheria na haki kwa maendeleo ya Wazanzibar.Mgombea...

 

10 years ago

BBCSwahili

Libya kuunda serikali ya Umoja?

Kiongozi wa serikali ya Libya inayotambuliwa kimataifa, ana matumaini ya kugawana madaraka na wapinzani

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI KIGOMA

Magufuli akiongea na wakazi wa Kigoma uwanja wa Kawawa. ...Akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, Hasnat Mwilima, katika Kijiji cha Nguluka kata ya Uvinza.…

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AENDELEA NA KAMPENI ZAKE LEO RUAHA

 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiongea na wananchi wa Ruaha katika viwanja vya Tem K2 Ruaha leo Ijumaa 23/10/2015 Mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule akimueleza matatizo ya Mikumi Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa pamoja na kuzungumza na wananchi waliofika katika viwanja vya Tem k2, leo...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI MBEYA

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na jeshi la polisi.Wananchi waliokusanyika kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika stendi ya mabasi mjini Mbalizi wakishangilia huku wakipiga makelele kwamba anatosha na anafaa kuwa Rais na wameahidi kumpigia kura ya ndiyo.Wafuasi wa...

 

9 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOA WA KILIMANJARO.

 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango wakiwasalimu wakazi wa Same waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM Ndungu.  Wakazi wa Same Mashariki wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli. Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akimvalisha fulana mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alieamua kurejea chama...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI LEO

Wana CCM wakipeperusha picha  na mabango yenye ujumbe wakati Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli alipowasili asubuhi hii katika jimbo la Nachingwea Mkoani Lindi kwaajili ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25 mwaka huu.Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli akipewa maelekezo mda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa kampeni kuanza leo...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA AENDELEA NA ZIARA ZAKE ZA KAMPENI MKOANI KIGOMA LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokea saluti kutoka kwa Askari Polisi, wakati alipowasili kwa Helkopta, kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma  kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, KIGOMA.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani