Ushindi wa Simba SC wampa kiburi Minziro
KOCHA Mkuu wa timu ya JKT Ruvu, Feed Felix ‘Mniziro’, amezinanga timu za Simba na Yanga zinazoendekeza makocha wa Kizungu na kuachana na wazawa licha ya kuwa na uwezo na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qGrB1_oKetQ/VOstIRTvaDI/AAAAAAAAL9I/NSNDQ0HRXV8/s72-c/IMG-20150222-WA0073.jpg)
KAMA DAWA YA KIBURI NI JEURI BASI HII NI ZAIDI YA KIBURI
![](http://2.bp.blogspot.com/-qGrB1_oKetQ/VOstIRTvaDI/AAAAAAAAL9I/NSNDQ0HRXV8/s1600/IMG-20150222-WA0073.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-zu5ZjWWCTO4/VOstHIJ7NjI/AAAAAAAAL88/dwN482lposI/s1600/IMG-20150222-WA0068.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-fI2zRnct5wI/VOstJkNLDQI/AAAAAAAAL9U/cx4rk76z-5A/s1600/IMG-20150223-WA0005.jpg)
9 years ago
Habarileo03 Nov
Ushindi wampa raha Kibadeni
USHINDI wa mabao 2-0 iliyoupata JKT Ruvu dhidi ya African Sports juzi umepokewa kwa mikono miwili na kocha Abdallah Kibadeni.
11 years ago
Mwananchi12 Jul
REKODI: Minziro: Sitasahau kipigo cha Simba
>Kocha wa JKT Ruvu, Fred Felix Minziro amesema katika maisha yake ya ukocha hatasahau kipigo cha mabao 5-0 walichokipata Yanga kutoka kwa Simba, msimu wa 2011/2012.
11 years ago
GPLWanachama Simba wampa masharti Rage
Mwenyekiti wA Simba, Ismail Aden Rage. Said Ally na Omary Mdose
KATIKA kuelekea kwenye mkutano mkuu wa Simba unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumapili kwenye Bwalo la Polisi, Oysterbay, baadhi ya wanachama wa klabu hiyo wamempa masharti mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage, kuhusu agenda ya mkutano huo. Simba inatarajiwa kufanya mkutano wao ambao una ajenda moja ya kubadilisha katiba yao ambayo imepangwa na uongozi mkuu ukiongozwa...
10 years ago
Mwananchi04 May
USHINDI: Simba yaibuka, yajipigia Azam
>Simba imejiweka katika mazingira mazuri ya kumaliza nafasi ya pili msimu huu baada ya kuifunga Azam pungufu kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Simba yaziaga sare, yafikiria ushindi
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza mkakati wa kupata ushindi kwenye mechi zilizosalia za Ligi Kuu msimu huu wakieleza kuwa, sare sasa basi.
11 years ago
Mwananchi30 Jun
UCHAGUZI MKUU SIMBA: Aveva apata ushindi wa kimbunga
>Evans Aveva ameula baada ya kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa klabu ya Simba katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Bwalo la Polisi, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar28 Aug
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania