Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yaziaga sare, yafikiria ushindi

Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza mkakati wa kupata ushindi kwenye mechi zilizosalia za Ligi Kuu msimu huu wakieleza kuwa, sare sasa basi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Simba yalazimishwa sare

2+copy

Beki wa Simba, Nassor Chollo, (no 2) akiruka kumdhibiti mshambuliaji wa Polisi Moro, Danny Mrwanda, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa jana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na sufianmafoto.com)

Na Mwandishi wetu

TIMU ya Simba, jana ilizidi kuchechemea katika Ligi Kuu Tanzania bara, baada ya kuvuna sare ya bao 1-1 dhidi ya Polisi Morogoro katika mechi kali iliyochezwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Hiyo ni sare ya pili kwa Simba chini ya kocha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sare zaing’oa Simba ‘Zenji’

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amesema haoni haja ya kurejea Zanzibar kuendelea na kambi kwa mechi zijazo za Ligi Kuu, baada ya kuambulia sare katika mechi mbili mfululizo katika...

 

10 years ago

GPL

COASTAL, SIMBA SC ZATOKA SARE YA 0-0

Kipa wa Coastal Union, Shaaban Kado akidaka mpira mbele ya beki wake, Tumba Swedi ambaye yuko mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma. COASTAL UNION wamegoma kufungwa mechi ya pili mfululizo nyumbani, baada ya jioni ya leo kulazimisha sare ya 0-0 na Simba SC Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Hakukuwa na mchezo wa kuvutia sana kutokana na timu zote kucheza mipira mirefu kwa kuhofia ubovu wa Uwanja wa Mkwakwani, lakini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba yavuna sare Mbeya

TIMU za Simba na Mbeya City, jana zilishindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mechi kali iliyokuwa na ushindani dakika zote 90 iliyopigwa Uwanja wa Sokoine, mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

Phiri:Sare Simba siri nzito

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick PhiriWakati Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, akisema matokeo ya sare ambayo timu yake imeendelea kuyapata katika mechi za Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara yana siri nzito na yanazidi kumchanganya, Mecky Maxime anayeinoa Mtibwa Sugar amekivulia kofia kikosi cha Mzambia huyo kwa kusema kinakosa bahati tu.

Simba juzi iliendelea kupata sare na kufikisha pointi sita katika mechi sita walizocheza katika Ligi ya Bara msimu huu ambayo ilianza kupigwa kwenye viwanja...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Simba, Azam zaambulia sare

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Azam jana walilazimishwa sare ya mabao 2-2 na Simba katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

SIMBA YATOKA SARE NA MTIBWA SUGAR

HATIMAYE ubishi wa timu ya Mtibwa na wekundu wa msimbazi Simba umemalizika leo hii uwanja wa taifa baada ya kuchoshana nguvu kwa kufungana sare ya 1-1. Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda  nafasi ya tatu, sawa na  Vinara Mbeya city wenye pointi 31. Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza. ...

 

10 years ago

GPL

SIMBA KAMA KAWA SARE TENA

SIMBA SC imetoa sare ya sita mfululizo tangu kuanza kwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kufungana bao 1-1 na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro jioni ya leo. Ushindi huo, unawafanya Mtibwa wafikishe pointi 14 kileleni mwa ligi hiyo, wakati Simba SC imefikisha pointi 6 leo Simba SC ilikwenda kupumzika ikiwa tayari inaongoza kwa bao 1-0, lililotiwa kimiani na beki wa kimataifa wa Uganda, Joseph Owino dakika ya 35...

 

9 years ago

BBCSwahili

Yanga yatoka sare,Simba yapeta

Yanga ikiwa ugenini huko Shinyanga ilikwenda sare ya mabao 2-2 na Mwadui Fc.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani