Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Phiri:Sare Simba siri nzito

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick PhiriWakati Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, akisema matokeo ya sare ambayo timu yake imeendelea kuyapata katika mechi za Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara yana siri nzito na yanazidi kumchanganya, Mecky Maxime anayeinoa Mtibwa Sugar amekivulia kofia kikosi cha Mzambia huyo kwa kusema kinakosa bahati tu.

Simba juzi iliendelea kupata sare na kufikisha pointi sita katika mechi sita walizocheza katika Ligi ya Bara msimu huu ambayo ilianza kupigwa kwenye viwanja...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK siri nzito

RAIS Jakaya Kikwete ana siri nzito moyoni ya kile anachotaka kuwaambia Watanzania wakati atakapolihutubia Bunge Maalumu la Katiba leo mjini Dodoma. Hotuba hiyo inayoashiria uzinduzi rasmi wa Bunge hilo la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Siri nzito

SIKU moja baada ya marais wawili wa Tanzania kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa, viongozi wa dini za Kikristo na Kiislam wamehitimisha kikao chao wakiwa na siri nzito kuhusu mustakabali wa taifa. Baadhi...

 

9 years ago

GPL

SIRI NZITO ZAFICHUKA!

Stori: Na Erick Evarist NYUMA ya wimbi kubwa la mastaa waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna siri nzito zilizojificha na Amani limechimbua kutoka kwa wahusika. Mastaa wakiwa kwenye vazi lakijani. Hivi karibuni, mastaa mbalimbali akiwemo mwigizaji Aunt Ezekiel na Vincent Kigosi ‘Ray’ waliokuwa wakishabikia Chadema kinachoungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, JK SIRI NZITO!

Na Musa Mateja/Amani
NYUMA ya ukaribu wa Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, kuna siri nzito kufuatia mambo mbalimbali yanayojitokeza kati yao kila kukicha, Amani lina cha kukujuza. Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

 

11 years ago

Mwananchi

Siri nzito bidhaa za machinga

Katika eneo la mnada wa kuuza vitu vya machinga vilivyokamatwa lililopo katika Soko la Kibasila Gerezani, kulikuwa na makundi ya watu wa aina mbili

 

10 years ago

Mtanzania

Ugaidi Tanga Siri nzito

OSCAR ASSENGA, TANGA
WAKATI nchi ikiwa bado kwenye taharuki ya mashambulio yanayodaiwa kufanana na ya kigaidi yaliyotokea katika Kijiji cha Mleni nje kidogo ya Jiji la Tanga, kumezuka madai mapya yanayowashutumu viongozi wa Jeshi la Polisi kwa kushindwa kutoa uamuzi wa haraka kudhibiti wahalifu hao.
Uzembe huo unadaiwa kufanywa na uongozi wa polisi makao makuu Dar es Salaam pamoja na Tanga na hivyo kutoa fursa kwa wahalifu kufanya mashambulio na baadaye kutoroka.
Chanzo cha kuaminika kutoka...

 

10 years ago

Mwananchi

Siri nzito CCM 2015

Vikao vya Kamati Kuu ya CCM na Kamati Maalumu ya NEC Zanzibar vinaonekana kuwa huenda vikaiweka hadharani siri nzito za urais wa Jamhuri ya Muungano.

 

11 years ago

GPL

SIRI NZITO USAJILI WA OKWI YAANIKWA

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Hans Mloli
SAKATA lililoshika hatamu katika kipindi kifupi cha nyuma ni kuhusu mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi aliyedaiwa kuwa na usajili wa utata na kusababisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumsimamisha mpaka lipate ufafanuzi kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Mchezaji huyo raia wa Uganda, alisajiliwa na Etoile du Sahel ya Tunisia akitokea Simba Januari, 2013 kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkwasa atoa siri nzito Yanga

Ofisa Mtaalam wa Mafunzo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Boniface Mkwasa.
Ofisa Mtaalam wa Mafunzo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Mkwasa amesema ana mkataba wa kuinoa Yanga aliopewa na uongozi wa Wanajangwani kabla ya kuchezwa kwa mechi ya 'Nani Mtani Jembe 2'.

Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi, Yanga ilipokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Simba, matokeo ambayo yamewafukuzisha kazi aliyekuwa Kocha Mkuu, Mbrazil Márcio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani