RACHEL ASAKA BWANA WA ‘KUMBONJI’ NAYE KENYA
![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzoNl9oSICrmLIYqDA0VurV2ALvYjBlOWJ52vcrfnH2TsqxJUyR9-*TAACqtWMpqPiOEIhIh6xKaTab5nh7djfaJ/RACHEL.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI Winfrida Josephat ‘Rachel’ juzikati aliwashangaza watu baada ya kudai kwamba siku hiyo baada ya shoo yao akiwa na Kundi la Kigoma All Stars mjini Nairobi alikuwa akitafuta bwana wa kumpa kampani usiku bila mafanikio. Rachel akijiachia na shabiki wake stejini. Mtandao mmoja wa Kenya wa Standard Digital News uliandika kuwa, siku hiyo baada ya shoo akiwa anazungumza na mapaparazi wa huko...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ujcza9N5GbJjjlcc*K6MbAterHIbKR9u*O1XiiJA4xcLtngBvnmR4vmO4XcyQL8pqveOnjfhivOHWZYNqspveAkTeJrWbN7j/ukwa.jpg?width=650)
UKWA WA BONGO NAYE ASAKA MCHUMBA!
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U4nVIpmxyNOknPA2CrAEQ9tUUwe5i-cHGDvbY0z1zACkCSNaehxuYFr6ESL-HoSfzICbuVXfNVq6InosrnALVGjs2fBmEo2e/rachel.png?width=650)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sTVlpNgegZw/VXBrEZ5RoII/AAAAAAAHcFo/H-n0YwxhEP8/s72-c/unnamed.png)
11 years ago
GPLRACHEL: NAJUTA KUTAMANI KUOLEWA
10 years ago
Bongo510 Nov
New Video: Rachel K f/ Ms. Triniti — Application
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkznpdatEUpHcSNmmNb6m2IeFiYtF2I7wXVnYF0F*lX61qpdPNwkV6-uWWGC4gWLgzaumZdMjcWXn0*a2JGK6WHi/tid.jpg)
RACHEL SITOKI NA TID JAMANI!
11 years ago
CloudsFM29 May
RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.