RACHEL SITOKI NA TID JAMANI!
Stori: shani ramadhani MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat maarufu kama Rachel, amekanusha uvumi kuwa anatoka kimapenzi na mkongwe wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’. Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat maarufu kama Rachel,Rachel ambaye ni zao la Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), aliyetamba na kibao chake cha Kizunguzungu, alisema maneno hayo siyo mageni kwake, lakini ukweli ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
10 years ago
Michuzi10 years ago
GPL11 years ago
GPLRACHEL: NAJUTA KUTAMANI KUOLEWA
10 years ago
Bongo510 Nov
New Video: Rachel K f/ Ms. Triniti — Application
11 years ago
CloudsFM29 May
RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
11 years ago
GPLMSANII RACHEL DAUDI NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPLRACHEL AMUUMIZA WASTARA, AMUACHIA DAVINA HAUSIGELI