RACHEL AMUUMIZA WASTARA, AMUACHIA DAVINA HAUSIGELI
![](http://api.ning.com:80/files/nc61tuPNc3MjyT9PDDtHefPtXFquLL9UCiF4RmldvH*evpUvdRYG4gmBBoGFYG8b8UPsrW84xnRWi2lwAEd*ParS5Q21cgM0/mboto.jpg)
Stori: Hamida Hassan KIFO cha msanii wa filamu, Rachel Haule kimewaumiza wengi lakini baadhi yao ni wasanii wenzake, Halima Yahaya ‘Davina’ aliyeachiwa hausigeli wa marehemu katika mazingira ya ajabu huku Wastara Juma akiumizwa na viatu na pochi alivyopewa na Rachel kabla hajafariki dunia. Msaniii wa Bongo Movie Halima Yahaya ‘Davina’ akiwa na simanzi kubwa. Akizungumza na Ijumaa juzi, Davina alisema...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KfEqIWZTt62Fb-FxLCDwOjV3ToBr6oaQDGU-k-iEtSHtp91fpwSMwhZvLo3RCxHiJImZPzlsrql0e1pTY8eiTmFVR68DDDWj/wastara3.jpg?width=600)
DAVINA AMSHAURI WASTARA
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Ndesamburo atangaza kutogombea jimbo la Moshi Mjini, amuachia mikoba Meya Jafary Michael
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U4nVIpmxyNOknPA2CrAEQ9tUUwe5i-cHGDvbY0z1zACkCSNaehxuYFr6ESL-HoSfzICbuVXfNVq6InosrnALVGjs2fBmEo2e/rachel.png?width=650)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sTVlpNgegZw/VXBrEZ5RoII/AAAAAAAHcFo/H-n0YwxhEP8/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
Bongo510 Nov
New Video: Rachel K f/ Ms. Triniti — Application
11 years ago
GPLRACHEL: NAJUTA KUTAMANI KUOLEWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkznpdatEUpHcSNmmNb6m2IeFiYtF2I7wXVnYF0F*lX61qpdPNwkV6-uWWGC4gWLgzaumZdMjcWXn0*a2JGK6WHi/tid.jpg)
RACHEL SITOKI NA TID JAMANI!
11 years ago
CloudsFM29 May
RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.