RACHEL: NAJUTA KUTAMANI KUOLEWA
Rachel Daudi Mwegola akiwa ndani ya Global TV Online. MSANII wa filamu Bongo, Rachel Mwegoha amefunguka ya moyoni kuwa anajuta kutamani kuolewa. Akifanya mahojiano kupitia kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na Global TV Online, Rachel alisema kuwa anajuta jinsi alivyoutumia vibaya ujana wake kwa kuelekeza nguvu nyingi katika kutamani ndoa na mwisho kujikuta akiambulia maumivu. “Nilikuwa nikitamani sana kuolewa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Feb
Wassira- Si dhambi kutamani kuwa Rais
KAMATI ndogo ya maadili ya CCM jana iliendelea kuhoji wanachama wake ambao wanatajwa kuanza harakati za urais kinyume na utaratibu wa chama. Jana ilikuwa zamu ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Steven Wassira.
10 years ago
Bongo Movies30 Mar
Wadau Wamshambulia Faiza, Kwa Bandiko Lake Mtandaoni la Kutamani Kufanya Ngono
Kufuatia andiko la staa mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally ambae ni mzazi mwenzie na mbunge wa CHADEMA , Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ aliloandika kwenye ukurasa wake mtandaoni akidai kuwa anatamani kufanya mapenzi kwani ni muda mrefu sana hajafanya mapenzi.
“Natamani sana kufanya SEX nikikwambia Nina muda gani sijafanya huwezi kuamini - I NEED SEX ..GOOD ONE”-Faiza Aliandika.
Mara baada ya bandiko hilo wadau na mashabiki wengi walimshambulia kwa maneneo kuwa kama mwanamke na mama wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KGb8vxx0Ynx7VRQ7qEdf99zL0pBq-HwdjJYA4RGXgMuR3ClajxkpPZ8Fbow6uSe3ec815xqNqXD45oEGKvYsOpwSaEKCZN5/dia.jpg?width=650)
DIAMOND: NAJUTA KUWA STAA
9 years ago
Bongo Movies20 Dec
Wastara: Najuta Starehe Zimeniponza
STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema kitu ambacho kimemponza na kumfanya asumbuliwe na mguu wake mara kwa mara ni kujisahau sana katika starehe kwa kuwa hajawahi kujikubali kuwa ni mlemavu.
![Wastara](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/WASTARA13.jpg)
Wastara
Akipiga stori na paparazi wetu Wastara alisema, tangu alipopatwa na tatizo hilo la mguu kwenye fikra zake hakutaka kukubali matokeo, siku zote alipenda aishi kama alivyokuwa mzima ikiwa ni pamoja na kwenda kwenye muziki na kucheza.
“Siyo siri nilijisahau sana, sikupenda kujiona mlemavu,...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Fid Q: Najuta kutoa albamu mapema
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa hip hop nchini, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema anajutia kutoa albamu yake ya kwanza inayoitwa ‘Vina Mwanzo Kati na Mwisho’ mapema kabla mfumo wa kutumia CD kuingia Tanzania.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Fid Q alisema kuwa mfumo wa kutumia kanda ulifanya albamu hiyo kuwafikia mashabiki wachache tofauti na malengo aliyojiwekea na anaamini angetumia CD kazi yake ingewafikia wengi.
“Muda mwingine nawaza albamu yangu ningeitoa kipindi ambacho CD...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PJuxWBht9blAFVidAGWNDc2mtilfYsIvxFM4tD7KTtajo9DAF3MTJA8h8G3SyxIe8RQXNTEuQTBu8KckK4qvb3q/UKOME.jpg?width=650)
WEMA: NAJUTA KUMLIPIA KAJALA MIL 13!
9 years ago
GPLMISS TZ: NAJUTA KUBEBA TAJI 2015
9 years ago
Bongo512 Oct
Najuta kujiingiza kwenye matumizi ya bangi — Mr Blue
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GO1Rm-PT2ppRslKPaf65W3VrKmXfGTdVaSqkJfHqPMNpJElNB0UdBn30Rb0*Bj7Ig4lpnQaRvZ6d3i31QrEVJi4kxIv3z-dk/najuta.jpg?width=650)
VAI WA UKWELI: TAMAA YA FEDHA ILINIPONZA, NAJUTA