Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VAI WA UKWELI: TAMAA YA FEDHA ILINIPONZA, NAJUTA

Stori: Mwandishi Wetu
SIKU chache baada ya msanii anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ kuingia kwenye kumi na nane za mtego wa kujiuza wa kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’, ameibuka na kusema, anajuta, amekoma na hatarudia tena. Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ akiwa katika ofisi za GPL akiongea na OFM. Habari ya Vai kunaswa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VAI WA UKWELI ATOKWA MABAKA MWILINI

Na Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kutokwa na mabaka mwili mzima. Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ Hivi karibuni, paparazi wetu alimnasa Vai wa Ukweli akiwa nyumbani kwake maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambapo alisema anashukuru Mungu kwani yupo kwenye dozi ya mwezi mzima baada ya...

 

11 years ago

GPL

VAI WA UKWELI NUSURA AVUNJE MGUU!

Na Hamida Hassan MUIGIZAJI wa filamu Bongo Movies, Isabela Francis ’Vai wa Ukweli’ nusura avunje mguu chumbani kwake baada ya bwana’ake Boniface kuibukia uvunguni mwa kitanda ghafla. Muigizaji wa filamu Bongo, Isabela Francis ’Vai wa Ukweli’. Akipiga stori na Amani, Vai alisema tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo pasipo kujua lengo lake, mchumba wake huyo alijificha uvunguni kama mtu...

 

10 years ago

GPL

VAI WA UKWELI: SIPIKI, NAMSTAREHESHA MPENZI TU!

Stori: Hamida Hassan
MSANII wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ ametoa kali ya mwaka kwa kusema kuwa, licha ya kwamba sifa ya mwanamke ni kujua kumpikia mume mahanjumati, yeye hana muda wa kupika ila anajua jukumu lake ni kumstarehesha mpenzi wake tu. Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’. Akipiga stori na paparazi wetu, Vai alisema hawezi kutumia muda wake kupika awapo...

 

10 years ago

GPL

VAI WA UKWELI MPENZI WAKE WAMWAGANA

HAMIDA HASSAN
Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ ameachana na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Bonny baada ya jamaa huyo kuweka ‘bondi’ TV yao sambamba na kupewa kipigo pale alipohoji. Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’. Chanzo cha habari kilieleza kuwa, awali Vai na jamaa yake huyo walikuwa wakipendana sana lakini hivi karibuni walizinguana...

 

10 years ago

GPL

10 QUESTIONS VAI WA UKWELI AFUNGUKIA ISHU YA USAGAJI, KUTOA MIMBA!

Wiki hii tunaye msanii wa filamu anayefahamika sana kwa jina la Vai wa Ukweli lakini jina lake halisi ni Isabela Fransis. Mwandishi wetu Hamida Hassan alimbana kwa maswali 10 na yeye alitoa ushirikiano katika kuyajibu, shuka naye… Ijumaa: Hebu waambie wasomaji kuhusu maisha yako ya kimapenzi maana wengi wanahisi hujatulia na una wanaume kibao. Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ akiwa katika ofisi za GPL. Vai:...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji wasiponzwe na tamaa ya fedha

KINACHOWAPONZA baadhi ya wachezaji wetu wa mikoani ni tamaa ya kupata fedha za haraka kutoka Simba na Yanga. Wengine hudiriki kuacha hata ajira zao ambazo zingewafaa baada ya kustaafu. Kuna...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ukweli kuhusu umoja wa fedha Jumuiya ya Afrika Mashariki

 OKTOBA 20 hadi 24 mwaka  huu, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliandaa semina  kwa waandishi wa habari, mjini Bagamoyo  kujifunza mambo mbalimbali. Miongoni mwa mada zilizotolewa ni ukweli kuhusu umoja wa fedha katika...

 

10 years ago

GPL

VAI ACHEKELEA KUACHIKA!

Gladness Mallya
MCHEZA filamu anayefanya vizuri nchini, Isabela Francis ‘Vai’ amefunguka na kuchekelea kuachana na mpenzi wake ajulikanaye kwa jina la Boniface Matiku ‘Bonny’, akisema akiwa nyumbani kwa mama yake, ana uhuru wa kuamua chochote, ikiwa ni pamoja na kunywa pombe hata asubuhi. Mcheza filamu anayefanya vizuri nchini, Isabela Francis ‘Vai’. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko...

 

11 years ago

GPL

VAI ACHEZEA KICHAPO

Stori: Gladness Mallya KICHAPO! Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amechezea kichapo ‘vitasa’ kutoka kwa bwana’ke aliyetajwa kwa jina la Boniface Matiku ‘Bonny’. Vai akiugulia maumivu ya kipigo hevi kutoka kwa bwana'ke. Kwa mujibu wa sosi wetu, ishu hiyo ilijiri hivi karibuni mishale ya usiku nyumbani kwa msanii huyo maeneo ya Mwananyamala-Hospitali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani