VAI WA UKWELI NUSURA AVUNJE MGUU!
Na Hamida Hassan MUIGIZAJI wa filamu Bongo Movies, Isabela Francis ’Vai wa Ukweli’ nusura avunje mguu chumbani kwake baada ya bwana’ake Boniface kuibukia uvunguni mwa kitanda ghafla. Muigizaji wa filamu Bongo, Isabela Francis ’Vai wa Ukweli’. Akipiga stori na Amani, Vai alisema tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo pasipo kujua lengo lake, mchumba wake huyo alijificha uvunguni kama mtu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLVAI WA UKWELI MPENZI WAKE WAMWAGANA
HAMIDA HASSAN
Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ ameachana na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Bonny baada ya jamaa huyo kuweka ‘bondi’ TV yao sambamba na kupewa kipigo pale alipohoji. Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’. Chanzo cha habari kilieleza kuwa, awali Vai na jamaa yake huyo walikuwa wakipendana sana lakini hivi karibuni walizinguana...
10 years ago
GPLVAI WA UKWELI: SIPIKI, NAMSTAREHESHA MPENZI TU!
Stori: Hamida Hassan
MSANII wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ ametoa kali ya mwaka kwa kusema kuwa, licha ya kwamba sifa ya mwanamke ni kujua kumpikia mume mahanjumati, yeye hana muda wa kupika ila anajua jukumu lake ni kumstarehesha mpenzi wake tu. Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’. Akipiga stori na paparazi wetu, Vai alisema hawezi kutumia muda wake kupika awapo...
11 years ago
GPLVAI WA UKWELI ATOKWA MABAKA MWILINI
Na Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kutokwa na mabaka mwili mzima. Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ Hivi karibuni, paparazi wetu alimnasa Vai wa Ukweli akiwa nyumbani kwake maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambapo alisema anashukuru Mungu kwani yupo kwenye dozi ya mwezi mzima baada ya...
11 years ago
GPLVAI WA UKWELI: TAMAA YA FEDHA ILINIPONZA, NAJUTA
Stori: Mwandishi Wetu
SIKU chache baada ya msanii anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ kuingia kwenye kumi na nane za mtego wa kujiuza wa kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’, ameibuka na kusema, anajuta, amekoma na hatarudia tena. Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ akiwa katika ofisi za GPL akiongea na OFM. Habari ya Vai kunaswa...
10 years ago
GPL10 QUESTIONS VAI WA UKWELI AFUNGUKIA ISHU YA USAGAJI, KUTOA MIMBA!
Wiki hii tunaye msanii wa filamu anayefahamika sana kwa jina la Vai wa Ukweli lakini jina lake halisi ni Isabela Fransis. Mwandishi wetu Hamida Hassan alimbana kwa maswali 10 na yeye alitoa ushirikiano katika kuyajibu, shuka naye… Ijumaa: Hebu waambie wasomaji kuhusu maisha yako ya kimapenzi maana wengi wanahisi hujatulia na una wanaume kibao. Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ akiwa katika ofisi za GPL. Vai:...
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje
>Hatima ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuendelea kushiriki vikao vya Bunge au kutoendelea inatarajiwa kujulikana leo.
11 years ago
GPLMJUMBE AMTAKA JK AVUNJE BUNGE LA KATIBA
Rais Jakaya Kikwete. Stori: Mwandishi Wetu
KUFUATIA sintofahamu inayozuka kila kukicha ndani ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, mbunge mmoja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jina tunalo) ameibuka na kumtaka Rais Kikwete ‘JK’ kulivunja bunge hilo. Akizugumza na Ijumaa Wikienda Jumamosi iliyopita kwa sharti la kutoandikwa jina lake gazetini, mbunge huyo kutoka Chama cha Mapinduzi ‘CCM’...
11 years ago
GPLBao la Tambwe lasababisha trafiki avunje kiti
Na Martha Mboma
BAO la kwanza la mshambuliaji wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, lilisababisha askari wa usalama barabarani ‘traffic’ aliyekuwa na sare za kazi, kushangilia na kuvunja kiti Uwanja wa Taifa, Dar kutokana na furaha iliyozidi.
Juzi, Simba na Yanga zilicheza mchezo wa Nani Mtani Jembe, Simba ikashinda mabao 3-1. Championi lilishuhudia tukio hilo uwanjani hapo. Baada ya Tambwe ambaye alipachika mabao...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Mbowe amtaka Kikwete avunje Baraza la Mawaziri
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais Jakaya Kikwete kulivunja Baraza la Mawaziri na kuunda jipya kutokana na tuhuma za ufisadi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania