VAI WA UKWELI MPENZI WAKE WAMWAGANA
![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiIMsE0y5-LCUwxI5fQkXC6*w7dSIWo9sbiAarjfxMK714EZ7uV5ifsSHlQdDUYT-uWbrexlZviN3j2Z4qrMGOUr/vainoma.jpg)
HAMIDA HASSAN Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ ameachana na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Bonny baada ya jamaa huyo kuweka ‘bondi’ TV yao sambamba na kupewa kipigo pale alipohoji. Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’. Chanzo cha habari kilieleza kuwa, awali Vai na jamaa yake huyo walikuwa wakipendana sana lakini hivi karibuni walizinguana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-3i3rVffQH1z*qNArtIoKEtb5q2MGLl423kxXN-wIR79-zGKio--dxVQyjN2CzPEtYqAjoz9KywqLaNeIgdSDx*uXfpJoLdo/vainoma.jpg?width=650)
VAI WA UKWELI: SIPIKI, NAMSTAREHESHA MPENZI TU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX7tCwf4bHl3jIw2xN1VvUQIVEwqNBzFhxhcZRYcHJZ4uJH4mVebht*NKUgskVXSW640IqPn3rC7Kp5B2jsE5Nsw/Nisha.jpg)
NISHA MPENZI WAKE WAMWAGANA
10 years ago
Bongo Movies08 Jan
Nisha na Mpenzi Wake Wamwagana
Mwigizaji wa kike anaeonyesha uwezo mkubwa kwenye tansia ya filamu hapa Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Farhad wanadaiwa kumwagana baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu.
Chanzo makini cha GPL,kilisema kwamba Nisha na mpenzi wake huyo ambaye walikuwa na mipango ya kuoana mwaka jana lakini ndoa ikayeyuka waliachana kutokana na sababu zisizojulikana na sasa kila mmoja yupo bize na maisha yake.
Baada ya kuzinyaka habari hizo paparazi...
11 years ago
CloudsFM30 May
NGOMA YA NDAGUSHIMA YA OMMY DIMPOZ NI HISTORIA YA UKWELI YEYE NA MPENZI WAKE
STAA wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz amefunguka kuwa ngoma yake mpya ya Ndagushima ni historia ya kweli na hisia zake za ukweli kwa mpenzi wake anayesoma Ulaya anayeitwa Emmy Mwarabu ila hapa anafunguka jinsi mchakato ulivyokua mpaka akawa na mwanadada huyo ambaye dimpoz huwa anapost picha zake kwenye mtandao.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8RcgKK2HPsETYUz2PofVa*8ncRe5JmEm9dc8nMn48NsCVXwpEElt8zx-0ok-Mod7KRuJ2LSzi47Jgxxc0iaR42P/VAI.jpg?width=650)
VAI WA UKWELI NUSURA AVUNJE MGUU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWT2duPkLQ-J0HGbHnvwCMzPO2BGVNy16SRajtvugamNtUBU18-DW2I1v*ANE*X4UZ6gGzcw4M3dN1qywE6WbuRw/vai.jpg)
VAI WA UKWELI ATOKWA MABAKA MWILINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GO1Rm-PT2ppRslKPaf65W3VrKmXfGTdVaSqkJfHqPMNpJElNB0UdBn30Rb0*Bj7Ig4lpnQaRvZ6d3i31QrEVJi4kxIv3z-dk/najuta.jpg?width=650)
VAI WA UKWELI: TAMAA YA FEDHA ILINIPONZA, NAJUTA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QiexpI9hytpCasXe63qp1YD7XVekyssEZRhoX9dd7s8X0H-j7T9vacEV4S7hgZ*yUa-5Tp0cUxPt4TCdpgCWPhJDvBH4Z3a1/ccc.jpg?width=650)
10 QUESTIONS VAI WA UKWELI AFUNGUKIA ISHU YA USAGAJI, KUTOA MIMBA!
11 years ago
Bongo Movies14 Jul
SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...