NGOMA YA NDAGUSHIMA YA OMMY DIMPOZ NI HISTORIA YA UKWELI YEYE NA MPENZI WAKE
STAA wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz amefunguka kuwa ngoma yake mpya ya Ndagushima ni historia ya kweli na hisia zake za ukweli kwa mpenzi wake anayesoma Ulaya anayeitwa Emmy Mwarabu ila hapa anafunguka jinsi mchakato ulivyokua mpaka akawa na mwanadada huyo ambaye dimpoz huwa anapost picha zake kwenye mtandao.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-uECxyRuL2bQ/VTd2RwQiOqI/AAAAAAAAsX8/KxpwoamA3Js/s72-c/ommy-picha%2B(1).jpg)
Ommy Dimpoz atoa sababu za kwanini hajawahi kumtambulisha hadharani mpenzi wake
![](http://3.bp.blogspot.com/-uECxyRuL2bQ/VTd2RwQiOqI/AAAAAAAAsX8/KxpwoamA3Js/s640/ommy-picha%2B(1).jpg)
'Sijapenda kuweka wazi sana swala la mahusiano kwasababu inatakiwa mimi niweze kuwa na uhakika kwamba huyu ambaye namtambulisha kwa wananchi ni kweli wakati umefika,
kwasababu leo unaweza ukawatambulisha huyu baada ya siku tatu mambo hayaeleweki ukatambulisha mwingine, kwahiyo mwisho wa siku utaonekana kijana unatumia nafasi yako kuweza kuchezea watoto wa kike, kwahiyo najaribu kuwa makini kwa hilo lakini kipindi kitakapofika watu wataweza kufahamu kama Ommy ‘bae’ wake ni yupi'...
11 years ago
GPL18 May
11 years ago
GPL07 Jun
11 years ago
Michuzi17 May
10 years ago
Bongo516 Sep
Behind The Scenes: Utengenezwaji wa video ya Ommy Dimpoz ‘Ndagushima’ Uingereza
10 years ago
Bongo519 Aug
Ommy Dimpoz azungumzia ukubwa wa Ndagushima, ujio mpya na collabo ya kimataifa
11 years ago
Dewji Blog02 Aug
10 years ago
Mtanzania19 Feb
Ommy Dimpoz: Wema siyo mpenzi wangu
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anashangazwa na uvumi unaoendelea kuwa yupo katika uhusiano na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu.
Akielezea kuhusu picha zilizosambaa kwenye mitandano ya kijamii, Ommy Dimpoz, alisema walikuwa Afrika Kusini kwa mapumziko ndipo picha hizo zilipopigwa.
“Tunapiga picha nyingi sana na Wema, hii siyo mara ya kwanza, lakini sijui kwanini hizi zimetengeneza taswira nyingine kwa mashabiki,”...