Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ommy Dimpoz azungumzia ukubwa wa Ndagushima, ujio mpya na collabo ya kimataifa

Muimbaji wa ‘Ndagushima’, Ommy Dimpoz ameeleza sababu iliyoufanya wimbo wake ‘Ndagushima’ kutofanya vizuri mapema kama mashabiki wake walivyozoea kwenye nyimbo zake zilizopita huku akitoa faida na hasara ya wimbo kufanya vizuri mapema. Ommy ameiambia Bongo5 kuwa wimbo wa Ndagushima ulianza vibaya mpaka watu wake wa karibu wakamshauri atoe wimbo mpya mapema. “Katika nyimbo zangu nilizowahi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

11 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Utengenezwaji wa video ya Ommy Dimpoz ‘Ndagushima’ Uingereza

Sina shaka umeshaitazama video ya Ommy Dimpoz ‘Ndagushima’ iliyofanyika nchini Uingereza na kuongozwa na director Mnigeria Mr. Moe Musa. Hii ni ‘behind the scenes’, wakati wa utengenezwaji wa video hiyo ambayo baada ya kukamilika kwa mara ya kwanza ilianza kuoneshwa Exclusive na kituo cha kimataifa cha MTV Base.

 

11 years ago

CloudsFM

NGOMA YA NDAGUSHIMA YA OMMY DIMPOZ NI HISTORIA YA UKWELI YEYE NA MPENZI WAKE

STAA wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz amefunguka kuwa ngoma yake mpya ya Ndagushima ni historia ya kweli na hisia zake za ukweli kwa mpenzi wake anayesoma Ulaya anayeitwa Emmy Mwarabu ila hapa anafunguka jinsi mchakato ulivyokua mpaka akawa na mwanadada huyo ambaye dimpoz huwa anapost picha zake kwenye mtandao.

 

10 years ago

Bongo5

Collabo ya Ommy Dimpoz na TID inakuja!

Ommy Dimpoz anatarajia kufanya ngoma na aliyewahi kuwa bosi wake wa takriban miaka minne, Khalid Mohamed aka TID kupitia Top Band. Taarifa hiyo inavunja tetesi zilizowahi kuandikwa kuwa wawili hao hawana uhusiano mzuri. Akizungumza na Global TV, Ommy amesema ataendelea kumshukuru TID kwakuwa ndiye aliyempa nafasi ya kuonesha kipaji chake. “Sasa hivi tuna ratiba ya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani