Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Behind The Scenes: Utengenezwaji wa video ya Ommy Dimpoz ‘Ndagushima’ Uingereza

Sina shaka umeshaitazama video ya Ommy Dimpoz ‘Ndagushima’ iliyofanyika nchini Uingereza na kuongozwa na director Mnigeria Mr. Moe Musa. Hii ni ‘behind the scenes’, wakati wa utengenezwaji wa video hiyo ambayo baada ya kukamilika kwa mara ya kwanza ilianza kuoneshwa Exclusive na kituo cha kimataifa cha MTV Base.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

11 years ago

Bongo5

Behind the scenes: Picha 15 za shooting ya video ya wimbo wa Victoria Kimani f/ Diamond & Ommy Dimpoz-Prokoto

Hizi ni picha za ‘behind the scenes’ za uchukuaji wa video ya wimbo wa muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani uitwao ‘Prokoto’, ambao kawashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond. Video ilifanyika Ijumaa (July 11) jijini Dar es salaam na kuongozwa na director wa Kenya Kevin Bosco.

 

11 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Picha za utengenezwaji wa video ya Barnaba, ‘Wahalade’

Hivi karibuni Barnaba boy ameachia wimbo mpya uitwao ‘Wahalade’, na tayari amemaliza kushoot video yake ambayo ndani ataonekana mama wa mwanaye Mama Steve. Video ya wimbo huo imeongozwa na director Nick Dizzo wa Focus Film. Tazama baadhi ya picha za wakati wa utengenezwaji wa video hiyo.

 

10 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz azungumzia ukubwa wa Ndagushima, ujio mpya na collabo ya kimataifa

Muimbaji wa ‘Ndagushima’, Ommy Dimpoz ameeleza sababu iliyoufanya wimbo wake ‘Ndagushima’ kutofanya vizuri mapema kama mashabiki wake walivyozoea kwenye nyimbo zake zilizopita huku akitoa faida na hasara ya wimbo kufanya vizuri mapema. Ommy ameiambia Bongo5 kuwa wimbo wa Ndagushima ulianza vibaya mpaka watu wake wa karibu wakamshauri atoe wimbo mpya mapema. “Katika nyimbo zangu nilizowahi […]

 

11 years ago

CloudsFM

NGOMA YA NDAGUSHIMA YA OMMY DIMPOZ NI HISTORIA YA UKWELI YEYE NA MPENZI WAKE

STAA wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz amefunguka kuwa ngoma yake mpya ya Ndagushima ni historia ya kweli na hisia zake za ukweli kwa mpenzi wake anayesoma Ulaya anayeitwa Emmy Mwarabu ila hapa anafunguka jinsi mchakato ulivyokua mpaka akawa na mwanadada huyo ambaye dimpoz huwa anapost picha zake kwenye mtandao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani