Bao la Tambwe lasababisha trafiki avunje kiti
![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXrRvlhV68ungBp-9DRvQNNw-lHcAwMN5aqadNFR7SaSfT0ztttZpvaU03Go4MPWcghcRG44YICiTjzgu7NcSu1U/bao.gif?width=600)
Na Martha Mboma BAO la kwanza la mshambuliaji wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, lilisababisha askari wa usalama barabarani ‘traffic’ aliyekuwa na sare za kazi, kushangilia na kuvunja kiti Uwanja wa Taifa, Dar kutokana na furaha iliyozidi. Juzi, Simba na Yanga zilicheza mchezo wa Nani Mtani Jembe, Simba ikashinda mabao 3-1. Championi lilishuhudia tukio hilo uwanjani hapo. Baada ya Tambwe ambaye alipachika mabao...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo31 Dec
BAO LA TAMBWE LA ZUA TAFRANI SIMBA HUKO
![](http://api.ning.com/files/f3Cpy2Teci2r5KLD7JMoV9Tg7xDfXliePGIfJChC6JL310cEi*yjyjXP6OUAj-r5dnRJZeQa6N*fXNh2m9HxcBrITVjvje97/AmissTambwe2.jpg?width=650)
Na Wilbert MolandiBAO la dakika ya saba lililofungwa na mshambuliaji raia wa Burundi, Amissi Tambwe, limezua tafrani kwa mashabiki na viongozi wa klabu ya Simba.Mrundi huyo alifunga bao hilo katika mchezo wa nane wa Ligi Kuu Bara, dhidi ya Azam FC, uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wake wa kwanza kuitumikia timu hiyo.
Tafrani kubwa iliibuka uwanjani hapo, mara baada ya Tambwe...
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?
![](http://2.bp.blogspot.com/-dUXEP5ngMBY/VmvKAQeYLuI/AAAAAAABUYI/cJroCRIVUG4/s640/TRAFIKI%2BAJALI%2B%25285%2529.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dM203vpOrZ8/XqfxvCsCPsI/AAAAAAALodE/1nPxFUCahYsVv7h9-Yv0nYvAgx6bZBwxwCLcBGAsYHQ/s72-c/choki%252Bpic.jpg)
JANGA LA CORONA LASABABISHA UKATA TWANGA PEPETA
![](https://1.bp.blogspot.com/-dM203vpOrZ8/XqfxvCsCPsI/AAAAAAALodE/1nPxFUCahYsVv7h9-Yv0nYvAgx6bZBwxwCLcBGAsYHQ/s640/choki%252Bpic.jpg)
Yassir Simba, Michuzi Tv MMILIKI na Mkurugenzi wa bendi ya muziki wa dansi nchini ya Twanga Pepeta, Asha Baraka amedai bendi yake sasa haiko sawa kiuchumi kutokana na janga la Corona.
Mkurugenzi wa bendi hiyo ameyasema hayo katika mahojiano yake na kipindi cha clouds 360 kinachorushwa na clouds TV.
Asha Baraka amedai kwamba kutokana na janga hilo la Corona kumesababishwa kufungwa kwa baadhi ya kumbi za starehe na kupelekea bendi hiyo kukosa maonyesho ambapo amedai amesaidia kuwalipa msharaha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq19MBuTOZDEXuC4fVu1-OudvouqDRuOPOOLd9V8WCZFwxSO-WV7TEKJbaFgMvMkxmpb57r-*eSCUf4c1ULQ*tbtu/kikwete.jpg)
MJUMBE AMTAKA JK AVUNJE BUNGE LA KATIBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8RcgKK2HPsETYUz2PofVa*8ncRe5JmEm9dc8nMn48NsCVXwpEElt8zx-0ok-Mod7KRuJ2LSzi47Jgxxc0iaR42P/VAI.jpg?width=650)
VAI WA UKWELI NUSURA AVUNJE MGUU!
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Mbowe amtaka Kikwete avunje Baraza la Mawaziri
9 years ago
StarTV17 Nov
Ukosefu Soko La Vitunguu Swaumu lasababisha Debe mbili kuthamanishwa kwa debe moja
Ukosefu wa soko la uhakika la Vitunguu Swaumu umesababisha wakulima wa zao hilo kuingia hasara baada ya wanunuzi kuwataka wauze debe mbili kwa malipo ya debe moja.
Wakulima wa Vitunguu Swaumu katika eneo la Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa wamesema changamoto hiyo inawakwamisha kutokana na kilimo hicho kutokuwa mkombozi kwao.
Vitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo ilianza kutumika duniani kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, na nchi za awali kabisa kulitumia zao hili zinatajwa kuwa...
10 years ago
Habarileo29 Sep
Trafiki punguzeni ajali - RC
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo amewataka askari wa Usalama Barabara (trafiki), kuacha kuwa na huruma nyingi pale wanapokamata magari yenye matatizo.
10 years ago
Mtanzania10 Oct
Trafiki watatu wafukuzwa kazi
NA RENATHA KIPAKA, BUKOBA
JESHI la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kulifedhehesha jeshi hilo kutokana na kitendo cha kupiga picha inayowaonyesha wawili kati yao wakinyonyana ndimi wakiwa kazini.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe, alisema kitendo kilichofanywa na askari hao kimeshusha hadhi ya jeshi.
Aliwataja askari hao waliofukuzwa ni F.7788 PC Mpaji Mwasumbi, G 2122 PC Fadhili Linga na WP.8898 Veronica...