Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Trafiki punguzeni ajali - RC

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo MKUU wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo amewataka askari wa Usalama Barabara (trafiki), kuacha kuwa na huruma nyingi pale wanapokamata magari yenye matatizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Picha/Video: Ephraim Kibonde akamatwa na polisi kwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya trafiki

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Ephrain Kibonde leo ameshuhudia jinsi ambavyo mkono wa sheria ulivyo mrefu hata kwa mtu maarufu kama yeye alipojikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababisha ajali na kushindwa kutoa ushirikiano kwa polisi wa barabarani. Picha ya mtangazaji huyo akiwa amepigwa ‘Tanganyika Jeki’ na polisi wa barabarani imeenea […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?

Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...

 

10 years ago

Habarileo

'Walimu punguzeni viboko'

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imetaka wazazi, walezi, walimu na wadau wengine kuwa macho na matumizi ya viboko kupindukia ikisema vitendo hivyo hutengeneza mazingira yasiyo rafiki kwa mtoto kujifunza.

 

11 years ago

Mwananchi

WB : Serikali sasa punguzeni madeni

Ripoti ya hali ya uchumi wa Tanzania ya Benki ya Dunia(WB) imeishauri Serikali kuimarisha usimamizi na uwiano baina ya mikakati ya maendeleo na kupunguza ongezeko la madeni kwa wakati.

 

11 years ago

Habarileo

'Wafanyabiashara punguzeni bei za vyakula'

WAFANYABIASHARA visiwani hapa wametakiwa kupunguza bei ya vyakula kutoa nafasi kwa wananchi kutekeleza vizuri mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni moja ya ibada muhimu kwa Waislamu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wassira: Watanzania punguzeni hofu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira, amewataka wanasiasa kuwapongeza watendaji wa serikali wanaofanya kazi vizuri na kuondoa hofu dhidi yao. Wassira, alitoa kauli hiyo juzi...

 

11 years ago

Michuzi

PUNGUZENI GHARAMA YA KUCHIMBA VISIMA - WAZIRI MKUU


WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Maji itafute njia mbadala zitazosaidia kupunguza gharama za kuchimba visima ili wananchi waweze kupata maji safi na salama.   “Wizara ya Maji angalieni uwezekano wa kupunguza gharama za uchimbaji wa visima ili wananchi waweze kumudu kuchimba visima na wapate uhakika wa maji safi na salama,” alisema.   Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana (Jumamosi, Machi 23, 2014), wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

GPL

PUNGUZENI GHARAMA ZA KUCHIMBA VISIMA - WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Maji itafute njia mbadala zitazosaidia kupunguza gharama za kuchimba visima ili wananchi waweze kupata maji safi na salama. “Wizara ya Maji angalieni uwezekano wa kupunguza gharama za uchimbaji wa visima ili wananchi waweze kumudu kuchimba visima na wapate uhakika wa maji safi na salama,” alisema. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana (Jumamosi,...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA MOROROGORO - M-POWER PUNGUZENI BEI YA HUDUMA YA NISHATI YA UMEME

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Dkt.Rajabu Rutengwe akisalimiana na wafanyakazi wa kampuni ya M-POWER mara baada ya kuwasili kwenye ufunguzi wa ofisi wa kampuni hiyo katika kata ya kihonda magorofani mkoani hapa.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt.Rajabu Rutengwe akikata utepe wa kufungua ofisi ya kampuni ya M-POWER inayohusika na kusambaza umeme wa jua hapa  nchini,kulia ni Mkurugenzi wa Usambazaji wa kampuni hiyo Raphael Robert.
 Mkurugenzi wa Usambazaji wa kampuni ya M-POWER Tanzania,Raphael Robert...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani