Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WB : Serikali sasa punguzeni madeni

Ripoti ya hali ya uchumi wa Tanzania ya Benki ya Dunia(WB) imeishauri Serikali kuimarisha usimamizi na uwiano baina ya mikakati ya maendeleo na kupunguza ongezeko la madeni kwa wakati.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KULIPA MADENI YA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA.


Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa pili kutoka kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu namna Serikali  inavyoshughulikia madai ya watumishi walio katika Serikali za Mitaa wasio walimu. Na Magreth   Kinabo-maelezoSERIKALI  imetenga  kiasi cha fedha cha  Sh. bilioni tano ( 5.93) ikiwa ni madeni ya mishahara ya  Watumishi wa Mamlaka za Serikali za  Mitaa(TALGWU) na  Sh. bilioni nne(4) kwa ajili ya kulipa madeni  ya yasiyohusu mishahara,...

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA UMMA SASA KUJAZA TAARIFA ZAO ZA RASILIMALI NA MADENI KWA NJIA YA MTANDAO

Charles James, Michuzi TVKUTOKANA na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia kutoka analojia kuelekea digitali, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeanza kutumia mfumo wa ujazaji matamko ya rasilimali na madeni kwa njia ya mtandao.
Mfumo huo umeanzishwa ili kutekeleza sera ya serikali mtandao (e-goverment) ambayo serikali imeelekeza Wizara, Idara, Taasisi na Mashirika yote ya Umma kutumia mfumo wa tehama katika kurahisisha mawasiliano na utendaji kazi.
Hayo yameelezwa na Kamishna wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali inavyolihujumu Tanesco,madeni

Wakati ongezeko la mahitaji ya huduma za umeme likiendelea kukua kwa kasi hapa nchini, Shirika la Ugavi nchini (Tanesco) linalohusika na huduma hiyo ndiyo kwanza linatambaa kwa kutumia magongo ya miti, likihitaji kunusuriwa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yabeba madeni ya ATCL

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica MwamunyangeSERIKALI imekubali kuchukua madeni yote ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) na kuyalipa, baada ya uhakiki ili kutoa fursa kwa shirika hilo kuanza biashara.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kulipa madeni ya wakulima wa mahindi

>Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi ameahidi kulipa deni la Sh5.7 bilioni inalodaiwa na wakulima wa mahindi.

 

9 years ago

Habarileo

‘Serikali yalipa madeni yote ya walimu’

SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madeni ya walimu kwa kusema imeshalipa yote ya mwaka jana na kwa mwaka huu, orodha inaandaliwa. Orodha kwa ajili ya madeni ya mwaka huu, inasubiriwa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) kabla ya malipo kufanyika.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaanza kulipa madeni ya walimu

Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, imeanza kulipa madeni ya walimu yanayofikia Sh162.1 milioni.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yabeba madeni ya TTCL ya mabilioni

 Profesa Makame MbarawaSERIKALI imebeba madeni ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ya mabilioni ya fedha na kuiruhusu kukopa hadi Sh bilioni 96.4 kutoka katika taasisi za fedha.

 

10 years ago

Mtanzania

Hatima madeni ya Serikali kutikisa Bunge

Bunge

Bunge

Na Bakari Kimwanga, Dodoma

MJADALA kuhusu azimio la kuliomba liidhinishe kufutwa au kusamehe hasara na madeni yaliyotokana na upotevu wa mali na fedha, yenye thamani ya Sh bilioni 10.8, unatarajiwa kulitikisa Bunge leo.

Hatua hiyo inatokana na mvutano ulioibuka mwishoni mwa wiki iliyopita miongoni mwa wabunge, kundi moja likitaka azimio hilo lipite na wengine wakipinga hatua hiyo wakisema ni sawa na ufisadi.

Hasara hiyo imetokana na sababu mbalimbali ikiwamo wizi na udokozi uliofanywa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani