Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WA UMMA SASA KUJAZA TAARIFA ZAO ZA RASILIMALI NA MADENI KWA NJIA YA MTANDAO

Charles James, Michuzi TVKUTOKANA na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia kutoka analojia kuelekea digitali, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeanza kutumia mfumo wa ujazaji matamko ya rasilimali na madeni kwa njia ya mtandao.
Mfumo huo umeanzishwa ili kutekeleza sera ya serikali mtandao (e-goverment) ambayo serikali imeelekeza Wizara, Idara, Taasisi na Mashirika yote ya Umma kutumia mfumo wa tehama katika kurahisisha mawasiliano na utendaji kazi.
Hayo yameelezwa na Kamishna wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA- UREJESHAJI FOMU ZA TAMKO LA MALI NA MADENI

Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inawataarifu Viongozi wote wa Umma nchini kwamba tarehe ya mwisho ya kurejesha Fomu za kutolea TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI ya viongozi kwa Kamishna wa Maadili kwa mwaka huu ni tarehe 31/12/2014. Fomu hizo za kutolea tamko zimeanza kutolewa na zinapatikana katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma makao makuu Dar es Salaam na katika ofisi za Kanda za Mashariki Kibaha, Arusha, Dodoma, Tabora, Mwanza, Mbeya na...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI KUFUATIA UPOTOSHWAJI UNAOENEZWA KWA NJIA YA MTANDAO ILI KUWATIA WATU HOFU



Katika siku za hivi karibuni kumeibuka tabia ya baadhi ya watu wachache wasiofahamika kutunga na kusambaza ujumbe kupitia simu za mikononi na mitandao mbalimbali ya kijamii wenye lengo la kuwatia hofu wananchi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Aidha, watu hao wanaosambaza taarifa hizo wanajifanya kwamba taarifa hizo zimetoka kwenye taasisi za kimataifa na taasisi zingine zinazoaminika jambo ambalo siyo kweli.

Jeshi la Polisi nchini linawataka wote wenye tabia hiyo kuacha mara moja na...

 

10 years ago

GPL

LHRC CHATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MWENENDO NA HATUA ZA KISHERIA KWA VIONGOZI WA UMMA WANAOKIUKA MAADILI‏

 Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba, wakati akitoa taarifa juu ya mwenendo na hatua za kisheria kwa viongozi wa umma wanaokiuka maadili.Katikati ni Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda...

 

10 years ago

Vijimambo

Viongozi ACT sasa kutangaza mali zao.

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe (pichani) na Katibu Mkuu, Samson Mwigamba, wameweka hadharani mali, maslahi na madeni, ambazo zitawekwa wazi kwenye vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na tovuti ya chama ili wananchi wasome.

Akihutubia mamia ya wananchi wakati wa uzinduzi wa chama hicho, Zitto alianza kwa kuweka hadharani mali zake mbele ya mwanasheria wa chama na kudai kwa undani zitawekwa kwenye mtandao ili kila mwananchi ajisomee.

Kabla ya kusaini fomu hiyo, Zitto...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)  NA.MIKOATAREHE YA KUANZATAREHE YA KUMALIZA1Njombe, Iringa,  Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
07/08/201511/08/20152Pwani na...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015

Picha ya Post iliyopostiwa na Kijana ajulikanae kama Raffayel Mombury.Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waandaaji na waendeshaji wa shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo linaendelea kufanyika huku washiriki watano Wakiwa washaenguliwa katika shindano hilo Kutokana na Kutokupata kura za kutosha kutoka kwa watazamaji wa Kipindi hiko mahiri kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV siku ya jumapili saa tatu na nusu usiku.Proin...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani