Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wassira: Watanzania punguzeni hofu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira, amewataka wanasiasa kuwapongeza watendaji wa serikali wanaofanya kazi vizuri na kuondoa hofu dhidi yao. Wassira, alitoa kauli hiyo juzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wassira:Wanasiasa chanzo cha hofu kwa watendaji

Steven WassiraWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira amewataka wanasiasa kupunguza hofu kwa watendaji wa Serikali na kuwapongeza wanaofanya vizuri.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tunataka watanzania wajiajiri- Wassira

Stephen-Wasira

Na Mwandishi wetu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira (pichani), amesema serikali inaandaa sera ya elimu itakayomwezesha mtanzania kujiajiri.

Alisema kuboreshwa kwa sera hiyo kutakwenda sambamba na mitaala inayotumiwa ambayo kwa muda mrefu imeshindwa kumjenga mhitimu katika dhana ya kujiajiri

Kauli hiyo aliitoa alipokuwa akizungumzia mipango ya serikali ya kuinua elimu na kumkomboa Mtanzania katika lindi la umasikini

Wassira alisema sera ya elimu inayotumika ni...

 

10 years ago

Vijimambo

SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU

Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha Mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika kuombea...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kauli ya Rais wa Tanzania, John Magufuli inawaondolea hofu watanzania?

Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wamezungumza na BBC kuhusu namna hali ilivyo hivi sasa baada ya kuingia kwa mlipuko wa virusi vya corona

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI:WATANZANIA OONDOENI HOFU KUHUSU CORONA, ENDELEENI KUCHAPA KAZI


*Awahakikishia watumishi wote wa umma kuendelea kulipwa mishahara yao
RAIS Dk.John Magufuli tangu tanga la Coroa limeibuka kila nchi inao utaratibu wake wa kushughulika na tatizo hilo na kwa Watanzania hakuna sababu ya kuwa na hofu yoyote na waendelee kuchapa kazi.
Ametumia nafasi hiyo kuwahakikisha watumishi wote wa umma wakiwemo walimu ambao ndio wengi zaidi kuwa Serikali itaendelea kuwalipa mshahara hadi shule zitakapofunguliwa ingawa kuna nchi nyingine zimeshindwa kulipa mishahara...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI BASHUNGWA AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU UHABA WA SUKARI NCHINI,AWATAKA WAFANYA BIASHARA KUZINGATIA BEI ELEKEZI

Na. Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.

Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa hakutakuwa na uhaba wa sukari tena na kuwataka wananchi wasiwe na hofu juu ya sukari na kuwahasa wauzaji kuzingazia bei elekezi.

Mhe.Bashungwa ameyasema hayo jana Mei 14, 2020 alipofika katika bandari ya Mwanza kusini na kushuhudia Shehena ya Sukari tani 20,000 ikishushwa na meli kutoka Nchini Uganda iliyoagizwa na kiwanda cha kagera sugar kwa ni...

 

10 years ago

Habarileo

'Walimu punguzeni viboko'

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imetaka wazazi, walezi, walimu na wadau wengine kuwa macho na matumizi ya viboko kupindukia ikisema vitendo hivyo hutengeneza mazingira yasiyo rafiki kwa mtoto kujifunza.

 

10 years ago

Habarileo

Trafiki punguzeni ajali - RC

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo MKUU wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo amewataka askari wa Usalama Barabara (trafiki), kuacha kuwa na huruma nyingi pale wanapokamata magari yenye matatizo.

 

11 years ago

Habarileo

'Wafanyabiashara punguzeni bei za vyakula'

WAFANYABIASHARA visiwani hapa wametakiwa kupunguza bei ya vyakula kutoa nafasi kwa wananchi kutekeleza vizuri mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni moja ya ibada muhimu kwa Waislamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani