SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha Mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika kuombea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi26 Dec
KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA - MH. SUMAYE:
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
10 years ago
Michuzi26 Dec
FREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Frederick Sumaye: Kuweni na hofu ya Mungu, naye atasikia maombi yenu kama taifa
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha Mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika...
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Sumaye ataka Watanzania kuacha ubinafsi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-h9rCRLVIv1Y/Xs9ZDM2IQTI/AAAAAAALrzs/_-UQ2mHi5zk-tDtlqIkjlPu-KDJhJqtsACLcBGAsYHQ/s72-c/InShot_20200527_161214388.jpg)
SHEIKH KIPOOZEO AIKUMBUSHA JAMII KUWA NA HOFU YA MUNGU, AGUSIA UMUHIMU WA MAZIWA YA MAMA KULINDA AFYA YA MTOTO
Na Khadija Seif, Michuzi tv
SHEIKH Hillal Shaweji maarufu kwa jina la Sheikh Kipozeo amewaomba wazazi na walezi kuwa na hofu ya Mungu kwa lengo la kuimarisha na kuendesha familia zao katika misingi ya kiucha Mungu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam Sheikh Kipozeo amesema wazazi na walezi wakiwa na misingi ya dini na hofu ya Mungu familia huwa na amani kubwa n kuishi maisha yenye furaha na kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Sheikh Kipoozeo amefafanu wakati nwingine watoto wanakumbwa na mikasa mingi ya...
10 years ago
Habarileo23 Oct
'Askofu muwe na hofu ya Mungu'
VIONGOZI wa Serikali nchini wameaswa kuwa na hofu ya Mungu wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku katika kuwaletea maendeleo wananchi na kwamba kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa hapa nchini viongozi wanaohitajika ni wale wenye kiu na njaa ya usawa na haki katika matumizi ya rasilimali.
10 years ago
Mtanzania19 Jan
‘Tunataka rais mwenye hofu ya Mungu’
Na Debora Sanja, Dodoma
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Watanzania kuhakikisha rais watakayemchagua katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, lazima awe na hofu ya Mungu.
Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo mjini Dodoma jana, wakati akizungumza katika hafla ya kusimikwa kwa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma, Beatus Kinyaiya.
Alisema kiongozi huyo, mbali na kuwa na hofu ya Mungu, lazima pia aweze kuongoza nchi bila kuwa na ubaguzi wa aina yoyote.
“Wakati tunapoelekea katika...
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Ufisadi ni zao la Kutokuwa na hofu ya Mungu
10 years ago
Habarileo08 Jul
‘Chagueni kiongozi mwenye hofu ya Mungu’
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, huku wakihakikisha wanamchagua kiongozi atakayeweza kuzisimamia vizuri rasilimali za taifa kwa manufaa ya watu wote.