FREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi26 Dec
KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA - MH. SUMAYE:
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Frederick Sumaye: Kuweni na hofu ya Mungu, naye atasikia maombi yenu kama taifa
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha Mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika...
10 years ago
Vijimambo27 Dec
SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
10 years ago
Michuzi25 Dec
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/122.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/212.jpg)
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Fredrick Sumaye Waziri Mkuu mstaafu
11 years ago
Michuzi06 May
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-oSzwPQ1dtWo/Vm3FgG-TwPI/AAAAAAAAXbo/-liK2zLcsDU/s72-c/1.jpg)
Fredrick Sumaye Atangaza Rasmi kuwa Mwanachama wa Chadema.........Akabidhiwa Kadi na Mbowe
11 years ago
Dewji Blog04 Aug
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye azindua Albam ya “Shikilia Pindo la Yesu” ya Rose
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inayoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likihudhuriwa na maelefu ya washabiki wa muziki wa injili, ambapo waimbaji mbalimbali wameshiriki katika uzindzi huo wakiwemo Ephraim Sekereti Kutoka Zambia, Sara K. kutoka Kenya , Upendo Kilahiro, Upendo Nkone John Lisu na...