KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA - MH. SUMAYE:
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika kuombea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi26 Dec
FREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Frederick Sumaye: Kuweni na hofu ya Mungu, naye atasikia maombi yenu kama taifa
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha Mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika...
10 years ago
Vijimambo27 Dec
SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
11 years ago
Michuzi06 May
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya corona: Watanzania waanza maombi ya siku 3 kumshukuru Mungu kwa kuwaepusha na janga
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-s5XnMV2bWb0/XsY47PIpDpI/AAAAAAAC5wU/YaxMwVqDm14ZW6bxrLJV10uPlbjK0EEbwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WATANZANIA KUFANYA MAOMBI KITAIFA SIKU TATU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTULINDA DHIDI YA JANG LA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-s5XnMV2bWb0/XsY47PIpDpI/AAAAAAAC5wU/YaxMwVqDm14ZW6bxrLJV10uPlbjK0EEbwCLcBGAsYHQ/s1600/1.jpg)
Maombi hayo ya siku tatu, (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili (Tarehe 22-24 Mei, 2020) yanafuatia wito wa Rais John Magufuli kupitia Hotuba yake aliyoitoa Jumapili ya tarehe 17 Mei, 2020 wakati akitoa takwimu za Corona katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Rais Magufuli aliwahimiza Wananchi katika...
5 years ago
BBCSwahili24 May
Virusi vya corona: Watanzania wafika kilele cha siku tatu za maombi ya shukrani kwa Mungu
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Mbatia naye aomba maombi kikao na JK
MWENYEKITI wa Chama cha NCCR –Mageuzi Taifa, James Mbatia ameungana na kauli ya rais Jakaya Kikwete ya kuwataka watanzania kuombea mazungumzo kati yake na wajumbe wa kikao cha maridhiano yanayofanyika...
10 years ago
Mwananchi03 Apr
MAOMBI:Yanga waifuata Platinum, wao wamwachia Mungu