Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAOMBI:Yanga waifuata Platinum, wao wamwachia Mungu

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amewataka wachezaji wake kuwadhihirishia Watanzania kwamba msimu huu wamepania kufanya mambo makubwa katika Kombe la Shirikisho Afrika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA - MH. SUMAYE:

1Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika kuombea...

 

10 years ago

GPL

ASKOFU WA KANISA LA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY ASEMA MAOMBI YAO MUNGU, AMETENDA!

Askofu Charles Gadi (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Viongozi wa kanisa hilo wakiomba kwa pamoja baada ya kumaliza kuongea na wanahabari.
Wanahabari wakichukua tukio. ASKOFU wa Kanisa la Good News For all Ministry,  Charles Gadi amesema maombi yao yaliyofanyika kwa takribani siku 1000 kwa ajili ya …

 

10 years ago

GPL

YANGA YAICHABANGA PLATINUM 5-1

Wachezaji wa Yanga wakishangilia mojawapo ya mabao yao. Simon Msuva akiichambua ngome ya Platinum. Amissi Tambwe akipambana na mabeki wa FC Platinum wakati wa mechi ya leo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaichakaza Platinum

Yanga imepiga hatua moja kuifuata Etoile Sahel ya Tunisia baada ya kuichakaza Platinum ya Zimbabwe kwa mabao 5-1 na kujiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele kwa hatua ya pili ya mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaipania Platinum

Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa ‘Master’ amesema wako tayari kucheza uwanja wowote na Platinum hata kama ni jangwani katika mchezo wao wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika.

 

10 years ago

Michuzi

FREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA

1Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Frederick Sumaye: Kuweni na hofu ya Mungu, naye atasikia maombi yenu kama taifa

1

Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha Mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani