WATANZANIA KUFANYA MAOMBI KITAIFA SIKU TATU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTULINDA DHIDI YA JANG LA CORONA

Watanzania kesho (22/05/2020) wanaanza maombi ya kitaifa kwa siku tatu mfululizo kila mmoja kwa imani yake ili kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua iliyofikiwa katika mapambano dhidi ya Janga la Corona.
Maombi hayo ya siku tatu, (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili (Tarehe 22-24 Mei, 2020) yanafuatia wito wa Rais John Magufuli kupitia Hotuba yake aliyoitoa Jumapili ya tarehe 17 Mei, 2020 wakati akitoa takwimu za Corona katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Rais Magufuli aliwahimiza Wananchi katika...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya corona: Watanzania waanza maombi ya siku 3 kumshukuru Mungu kwa kuwaepusha na janga
5 years ago
BBCSwahili24 May
Virusi vya corona: Watanzania wafika kilele cha siku tatu za maombi ya shukrani kwa Mungu
5 years ago
MichuziWAISLAMU KUFANYA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU TATU
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BWAKWATA) Mkoa wa Mwanza, limesema waumini wa dini hiyo mkoani humu wataungana na wa mikoa mingine nchini kufanya ibada ya kuomba dua kumshukuru Mungu kwa kusikia na kujibu maombi ya Watanzania kuhusiana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (Covid-19).
Pia watafanya ibada ya kumwombea dua Rais John Magufuli, Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda kwa alichokionyesha na hatua alizochukua za kuwapigania wananchi wanyonge kwenye mapambano ya...
5 years ago
CCM Blog
MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA

Maombi hayo yameandaliwa na wizara ya afya kwa kushirikiana na viongozi wa madhehebu ya dini nchini, na yanafanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
5 years ago
Michuzi21 Apr
MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KUFANYIKA APRILI 22,2020
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.
Maombi hayo yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa...
10 years ago
Michuzi
NYALANDU KUFANYA TAMASHA KUBWA LA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTIMIZA MIAKA 15 YA UBUNGE WAKE

Na Mwandishi Wetu
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, Desemba 28, 2014 (kesho J’pili) atafanya mkutano mkubwa kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu na wananchi wa Singida Vijijini na Watanzania wote kwa kutimiza miaka 15 ya ubunge.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Mbunge huyo, Elia Diga, imesema kuwa mkutano huo ambao utaambatana na burudani mbalimbali, utafanyika katika Kata ya Ilongero na utahudhuriwa na viongozi wa Chama na serikali, viongozi wa dini zote na wananchi zaidi ya...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUONGOZA MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara, Maombi hayo yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa...
5 years ago
CCM Blog
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA KUTUMIA SIKU 3 KUMUOMBA MUNGU ATUEPUSHE NA JANGA LA CORONA


5 years ago
Michuzi
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA KUTUMIA SIKU 3 KUMUOMBA MUNGU AWAEPUSHE NA JANGA LA CORONA

