MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-I71BQfRggtw/XqADdk20R6I/AAAAAAAC3sA/EdgtPTKayPssAxdQWgjIr4E_bdc6WZRnACLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Aprili 22, 2020, anaongoza Taifa zima katika maombi maalum ya kuliombea taifa dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu (COVID-19) inayosababishwa na virusi vya corona.
Maombi hayo yameandaliwa na wizara ya afya kwa kushirikiana na viongozi wa madhehebu ya dini nchini, na yanafanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi21 Apr
MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KUFANYIKA APRILI 22,2020
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.
Maombi hayo yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z-egHoIE3WI/Xp595q655nI/AAAAAAALnpg/E5VBg3zmscEIdJFuGGF8q1YeIdhbyj7AQCLcBGAsYHQ/s72-c/afya.jpg)
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUONGOZA MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-z-egHoIE3WI/Xp595q655nI/AAAAAAALnpg/E5VBg3zmscEIdJFuGGF8q1YeIdhbyj7AQCLcBGAsYHQ/s1600/afya.jpg)
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara, Maombi hayo yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-s5XnMV2bWb0/XsY47PIpDpI/AAAAAAAC5wU/YaxMwVqDm14ZW6bxrLJV10uPlbjK0EEbwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WATANZANIA KUFANYA MAOMBI KITAIFA SIKU TATU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTULINDA DHIDI YA JANG LA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-s5XnMV2bWb0/XsY47PIpDpI/AAAAAAAC5wU/YaxMwVqDm14ZW6bxrLJV10uPlbjK0EEbwCLcBGAsYHQ/s1600/1.jpg)
Maombi hayo ya siku tatu, (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili (Tarehe 22-24 Mei, 2020) yanafuatia wito wa Rais John Magufuli kupitia Hotuba yake aliyoitoa Jumapili ya tarehe 17 Mei, 2020 wakati akitoa takwimu za Corona katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Rais Magufuli aliwahimiza Wananchi katika...
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya corona: Watanzania waanza maombi ya siku 3 kumshukuru Mungu kwa kuwaepusha na janga
5 years ago
MichuziSINGIDA YAWA MWENYEJI KITAIFA UZINDUZI RASMI WA PROGRAMU YA MAPAMBANO DHIDI YA KUENEA KWA VIRUSI VYA CORONA
11 years ago
BBCSwahili08 Dec
Maombi ya kitaifa Afrika Kusini
11 years ago
Habarileo07 Jun
Waziri: Viroba ni janga la kitaifa
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene amesema ipo haja ya pombe zinazouzwa zikiwa zimefungwa kwenye mifuko midogo ya plastiki maarufu kama viroba kuondolewa kwani ni janga la taifa linalosababisa ulevi kila eneo.
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
‘Ukatili wa jinsia janga la kitaifa’
NAIBU Mkurugenzi wa Mradi wa Champion, Dk. Monica Mhoja, amesema Tanzania inapaswa kuwa na mkakati wa kipekee katika kukabiliana na ukatili wa jinsia kwa kuwa ni janga la kitaifa. Alisema...
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Ataka Homa ya ini itangazwe janga la kitaifa
SERIKALI imetakiwa kutangaza ugonjwa wa homa ya ini kuwa janga la kitaifa kutokana na kuongezeka kwa kasi kwa ugonjwa huo. Akizungumza na Tanzania Daima jumapili, Kaimu Mratibu Huduma za Selimundu...