Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ukatili wa jinsia janga la kitaifa’

NAIBU Mkurugenzi wa Mradi wa Champion, Dk. Monica Mhoja, amesema Tanzania inapaswa kuwa na mkakati wa kipekee katika kukabiliana na ukatili wa jinsia kwa kuwa ni janga la kitaifa. Alisema...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waziri: Viroba ni janga la kitaifa

NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene amesema ipo haja ya pombe zinazouzwa zikiwa zimefungwa kwenye mifuko midogo ya plastiki maarufu kama viroba kuondolewa kwani ni janga la taifa linalosababisa ulevi kila eneo.

 

5 years ago

CCM Blog

MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA

Waziri  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Aprili 22, 2020, anaongoza Taifa zima katika maombi maalum ya kuliombea taifa dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu (COVID-19) inayosababishwa na virusi vya corona.
Maombi hayo yameandaliwa na wizara ya afya kwa kushirikiana na viongozi wa madhehebu ya dini nchini, na yanafanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam 

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ataka Homa ya ini itangazwe janga la kitaifa

SERIKALI imetakiwa kutangaza ugonjwa wa homa ya ini kuwa janga la kitaifa kutokana na kuongezeka kwa kasi kwa ugonjwa huo. Akizungumza na Tanzania Daima jumapili, Kaimu Mratibu Huduma za Selimundu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Elimu ukatili wa jinsia kuwasaidia Chamwino

UKATILI wa kijinsia ni kitendo kinachoweza kusababisha madhara au mateso ya kisaikolojia kwa mtu. Miongoni mwa vitendo vya kikatili ni pamoja na kutishia na kunyima uhuru, kunyimwa mahitaji muhimu na...

 

9 years ago

Michuzi

KADINALI PENGO AZUNGUMZIA SWALA LA UKATILI WA JINSIA

Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu Dar es Salaam, Mwadhama Polycap Kadinali Pengo (kushoto), akizungumza kuhusiana na kampeni ya siku 16 za kupambana na ukatili wa kijinsia na waandishi wa habari na wanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria (WLAC), nyumbani kwake, Kurasini Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha na Joseph Zablon.
Wakati Tanzania kesho inazindua kampeni ya kuzuia ukatili wa kijinsia, Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu Dar es Salam, Mwadhama, Polycarp Kadinali...

 

5 years ago

Michuzi

MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KUFANYIKA APRILI 22,2020




WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.
 Maombi hayo  yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa  madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa...

 

10 years ago

GPL

KONGAMANO LA SIKU MBILI LA UKATILI WA JINSIA DHIDI YA WANAWAKE NA WALEMAVU

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Seed Trust, Margareth Mkanga (MB) akizungumza katika kongamano hilo. Kulia ni Mwenyekiti wa Shirika hilo, Stephen Mashishanga. Kongamano hilo la Majadiliano kuhusiana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na walemavu limeshirikisha wadau mbalimbali kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania na kuandaliwa na Shirika la Seed Trust la mjini Morogoro kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUONGOZA MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM


Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara, Maombi hayo  yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa  madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani