SINGIDA YAWA MWENYEJI KITAIFA UZINDUZI RASMI WA PROGRAMU YA MAPAMBANO DHIDI YA KUENEA KWA VIRUSI VYA CORONA
Mratibu wa Kamati ya Programu ya mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa corona kutoka TYEC Mkoa wa Singida, Stella Mwagowa pamoja na Mratibu wa Uhamasishaji na Utoaji wa Elimu ya Afya Mkoa wa Singida, Paul Sangalali wakitoa elimu ya namna ya kujikinga na Virusi vya Corona kwa mmoja wa wafanyabiashara.
Afisa wa Polisi, Rashid Mirambo akitoa elimu ya namna ya kujikinga na Virusi vya Corona kwa vijana.
Mmoja wa Wanajumuiya ya TYEC, Richard Assey, akishiriki kampeni hiyo kwa kutoa elimu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTUNAANZA RASMI ZOEZI LA KUPULIZA DAWA YA KUUA WADUDU NA KUENEA KWA VIRUSI VYA CORONA KESHO-RC MAKONDA
RC Makonda amesema kwa kufanya hivyo itasaidia pia kuua Vimelea na Wadudu kama Mbu wanaoenzeza ugonjwa wa Malaria, homa ya dengu na magonjwa mengineyo na kufanya jiji hilo kuwa katika hali nzuri...
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Serikali, sayansi na sintofahamu ya mapambano dhidi ya corona Tanzania
5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya corona: Imani za kidini zinasaidia au zinadidimiza mapambano dhidi ya corona?
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya Corona: Jinsi kinyesi cha kuku kinavyotumika mapambano dhidi ya corona
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Je, dawa za mitishamba zina nafasi katika mapambano dhidi ya corona?
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
Virusi vya Corona: Mapambano dhidi ya Corona DRC
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-X4ovIDcNZyc/XqvHwaaQsxI/AAAAAAALou8/y42n7Uqd5D4akMGYp72UsTXzI7vg1tpcgCLcBGAsYHQ/s72-c/663.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi awaomba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoa Elimu kwa Wananchi kuhusu mapambano dhidi ya Virusi vya Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-X4ovIDcNZyc/XqvHwaaQsxI/AAAAAAALou8/y42n7Uqd5D4akMGYp72UsTXzI7vg1tpcgCLcBGAsYHQ/s640/663.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-1lfwQBFlQPA/XqvHwQ7EDjI/AAAAAAALou4/CwIBf5JoR1grtJGU4DgldwzJvlJN2JhXgCLcBGAsYHQ/s640/669.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-EzsrLfD_lps/Xosxsvji5YI/AAAAAAAA_Ak/RUZOqKXlW_oTekQtxGpCDQn_nCDzVFCQwCNcBGAsYHQ/s72-c/52395243_303.jpg)
MATUMAINI YAANZA KUONEKANA ULAYA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-EzsrLfD_lps/Xosxsvji5YI/AAAAAAAA_Ak/RUZOqKXlW_oTekQtxGpCDQn_nCDzVFCQwCNcBGAsYHQ/s640/52395243_303.jpg)
Haya yanakuja wakati ambapo idadi ya vifo Marekani inaelekea kufikia watu elfu kumi.
Virusi vya corona vimeuathiri karibu ulimwengu mzima na kuwapelekea karibu nusu ya watu duniani kusalia majumbani na kupelekea vifo vya karibu watu sabini elfu.
Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza, hapo jana alitoa...
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Ukweli kuhusu kemikali za kuua vijidudu na mapambano dhidi ya virusi vya corona