Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunataka watanzania wajiajiri- Wassira

Stephen-Wasira

Na Mwandishi wetu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira (pichani), amesema serikali inaandaa sera ya elimu itakayomwezesha mtanzania kujiajiri.

Alisema kuboreshwa kwa sera hiyo kutakwenda sambamba na mitaala inayotumiwa ambayo kwa muda mrefu imeshindwa kumjenga mhitimu katika dhana ya kujiajiri

Kauli hiyo aliitoa alipokuwa akizungumzia mipango ya serikali ya kuinua elimu na kumkomboa Mtanzania katika lindi la umasikini

Wassira alisema sera ya elimu inayotumika ni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wassira: Watanzania punguzeni hofu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira, amewataka wanasiasa kuwapongeza watendaji wa serikali wanaofanya kazi vizuri na kuondoa hofu dhidi yao. Wassira, alitoa kauli hiyo juzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wazazi wawapeleke watoto wao vyuo vya ufundi ili wajiajiri!!

Mkuu wa Chuo cha VETA Makete, Ramadhan Sebo akitoa nasaa kwa wanafunzi wanaoingia mtaani kujiajiri. Watanzania  wametakiwa kuwapelewa watoto wao katika vyuo mbalimbali vya ufundi stadi elimu inayo zalisha ajira nyingi kuliko vyuo vikuu
hapa nchini ili kuepukana na tatizo la ajira.Inadaiwa kuwa watu wanaojiajiri ni wengi wanao toka katika
vyuo vya ufundi kuliko wanano maliza vyuo vikuu kutokana na wanao toka vyuo
vikuu wanategenea kuajiliwa huku wa vyuo vya ufundi wakijikita...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara wajiajiri kupitia mfuko wa mendeleo ya Vijana

Kikosi kazimaalum kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wa kiongea na Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani ,Bw. Rashid Mohamed walimpotembelea leo ofisini kwake kwa ajili ya kufuatilia na kufanya tathmini ya mikopo iliyokwishatolewa katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-mikindani. Wajumbe wa kikundi cha AMKENI kutoka Halmashauri ya manispaa ya Mtwara mikindani wakiwa katika majadiliano na wajumbe wa kikosi kazi maalum kutoka...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunataka kampeni za amani

MWISHONI mwa wiki hii, vyama vya siasa vitazindua rasmi kampeni zao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa

Ezekiel Kamwaga

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunataka uchaguzi wa amani

WAKATI wananchi wa kata 27 kutoka halmashauri mbalimbali nchini wakisubiri kupiga kura Jumapili ijayo kuwachagua madiwani wa kata zao, taarifa za kuwepo kwa vurugu kwenye kampeni hizo zinasikika na kusababisha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tunataka tusitake mabadiliko ni lazima

ASILIMIA kubwa ya Watanzania na hasa vijana wa mijini na vijijini wanataka mabadiliko. Kwa vile mabadiliko ni ya aina nyingi, ni muhimu kusisitiza kwamba mjadala wetu umejikita zaidi kwenye mabadiliko...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tunataka muungano wenye heshima’

Baada ya wabunge wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) upande wa Zanzibar kugomea kushiriki Bunge la Katiba kwa madai ya kukimbia kejeli, matusi na ubaguzi katika  Bunge hilo, taasisi moja ya utafiti na  sera za umma (ZRPP) imeamua kuwaunganisha Wazanzibari ili kufikia lengo la kupata Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunataka Katiba ya Tanzania si ya CCM

BAADA ya takriban siku 40 za mivutano ya kuandaa kanuni na taratibu mbalimbali, kesho wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wataanza kupitia ibara 17 za rasimu ya Katiba mpya iliyoandaliwa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunataka sera za kutukomboa kiuchumi

KAMPENI za Uchaguzi Mkuu zimekwishakuanza.

Maggid Mjengwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani