PUNGUZENI GHARAMA YA KUCHIMBA VISIMA - WAZIRI MKUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-x78ZszG1o9s/Uy6PWuQ9d3I/AAAAAAACdP0/d0ZnnVdUuTQ/s72-c/pinda.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Maji itafute njia mbadala zitazosaidia kupunguza gharama za kuchimba visima ili wananchi waweze kupata maji safi na salama.
“Wizara ya Maji angalieni uwezekano wa kupunguza gharama za uchimbaji wa visima ili wananchi waweze kumudu kuchimba visima na wapate uhakika wa maji safi na salama,” alisema.
Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana (Jumamosi, Machi 23, 2014), wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLPUNGUZENI GHARAMA ZA KUCHIMBA VISIMA - WAZIRI MKUU
11 years ago
Habarileo24 Mar
Pinda ataka gharama za kuchimba visima zipungue
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ametaka Wizara ya Maji kutafuta njia mbadala, itayosaidia kupunguza gharama za kuchimba visima ili wananchi waweze kupata maji safi na salama.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Abood apongezwa kuchimba visima
WANANCHI mkoani Morogoro wamempongeza Mbunge wao, Aziz Abood, kwa jitihada mbalimbali anazofanya ikiwemo kuhakikisha huduma ya maji inapatikana katika maeneo mbalimbali. Wakizungumza na Tanzania Daima jana, wananchi hao walisema tatizo...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Blue Springs kuchimba visima bure
KAMPUNI ya Blue Springs ya jijini Dar es Salaam imekaribisha maombi ya kuchimbiwa visima bure kwa maeneo yenye uhaba wa maji. Akizungumza na waandishi wa habari jijini humo, Mkurugenzi wa...
9 years ago
Habarileo25 Dec
Mbunge Moro kutumia mkopo wa gari kuchimba visima
MBUNGE wa Morogoro Mjini (CCM), Abdulaziz Abood, amesema atatumia fedha ambazo wabunge wanakopeshwa kununua magari, kuchimba visima vya maji kuwezesha wananchi wapatao 1,700 wa kata ya Mkundi kupata maji safi na salama.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-7enhtaMuXeQ/VgZu8WXRT9I/AAAAAAABV-E/h8MJBZaQieE/s72-c/4.jpg)
MKUU WA MKOA WA MOROROGORO - M-POWER PUNGUZENI BEI YA HUDUMA YA NISHATI YA UMEME
![](http://4.bp.blogspot.com/-7enhtaMuXeQ/VgZu8WXRT9I/AAAAAAABV-E/h8MJBZaQieE/s640/4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-VqWDsw0H8Wk/VgZu8KGTwGI/AAAAAAABV-A/2rSo4CCIiIY/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-9GfkWKz4FxY/VgZu6Tg8aLI/AAAAAAABV94/gAqy4zr5J3A/s640/1.jpg)
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Naibu Waziri Makalla akagua Miradi ya Visima vya Maji Mkuranga
![](http://4.bp.blogspot.com/-LYrhx1PyvJ0/U9pucLRjeXI/AAAAAAAArYU/RkEVQ9jnpBY/s1600/Picture+001.jpg)
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia), akipata maelezo kutoka kwa kiongozi wa Mafundi wa Kampuni ya CDM Smith, John Donoherth, kuhusu ujenzi wa kisima kilichopo Mkwalia Mkuranga ambacho ni moja kati ya visima 8 vinavyofanyiwa utafiti maji wilayani humo. Makalla alifanya ziara ya kukagua miradi ya maji wilayani Mkuranga mkoani Pwani leo. Pia alikagua mradi wa kisima cha maji cha Nyamato chenye uwezo wa kutoa maji lita 26,000 kwa saa kitakachohudumia wakazi wa vijiji vya Mvuleni,...