Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda ataka gharama za kuchimba visima zipungue

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ametaka Wizara ya Maji kutafuta njia mbadala, itayosaidia kupunguza gharama za kuchimba visima ili wananchi waweze kupata maji safi na salama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PUNGUZENI GHARAMA ZA KUCHIMBA VISIMA - WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Maji itafute njia mbadala zitazosaidia kupunguza gharama za kuchimba visima ili wananchi waweze kupata maji safi na salama. “Wizara ya Maji angalieni uwezekano wa kupunguza gharama za uchimbaji wa visima ili wananchi waweze kumudu kuchimba visima na wapate uhakika wa maji safi na salama,” alisema. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana (Jumamosi,...

 

11 years ago

Michuzi

PUNGUZENI GHARAMA YA KUCHIMBA VISIMA - WAZIRI MKUU


WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Maji itafute njia mbadala zitazosaidia kupunguza gharama za kuchimba visima ili wananchi waweze kupata maji safi na salama.   “Wizara ya Maji angalieni uwezekano wa kupunguza gharama za uchimbaji wa visima ili wananchi waweze kumudu kuchimba visima na wapate uhakika wa maji safi na salama,” alisema.   Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana (Jumamosi, Machi 23, 2014), wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abood apongezwa kuchimba visima

WANANCHI mkoani Morogoro wamempongeza Mbunge wao, Aziz Abood, kwa jitihada mbalimbali anazofanya ikiwemo kuhakikisha huduma ya maji inapatikana katika maeneo mbalimbali. Wakizungumza na Tanzania Daima jana, wananchi hao walisema tatizo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Blue Springs kuchimba visima bure

KAMPUNI ya Blue Springs ya jijini Dar es Salaam imekaribisha maombi ya kuchimbiwa visima bure kwa maeneo yenye uhaba wa maji. Akizungumza na waandishi wa habari jijini humo, Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge Moro kutumia mkopo wa gari kuchimba visima

MBUNGE wa Morogoro Mjini (CCM), Abdulaziz Abood, amesema atatumia fedha ambazo wabunge wanakopeshwa kununua magari, kuchimba visima vya maji kuwezesha wananchi wapatao 1,700 wa kata ya Mkundi kupata maji safi na salama.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka urais

WAKATI makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakitumikia adhabu ya mwaka mmoja kwa kosa la kuanza kampeni za urais wa 2015 kabla ya muda, Waziri Mkuu Mizengo Pinda naye...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda ataka subira

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema suala la kumtaka ajiuzulu wadhifa wake si jipya, lakini akasema ni vyema kusubiri mjadala wa Bunge wa sakata la Tegeta Escrow ufike mwisho, ndipo hatua stahiki zitajulikana.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka ufugaji wa kibiashara

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka wafugaji nchini kufuga kibiashara ili kujikwamua na umaskini. Hayo aliyasema jijini hapa jana wakati akifungua mkutano wa siku tatu wa wadau wa mifugo, uliyoandaliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani