Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda ataka ufugaji wa kibiashara

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka wafugaji nchini kufuga kibiashara ili kujikwamua na umaskini. Hayo aliyasema jijini hapa jana wakati akifungua mkutano wa siku tatu wa wadau wa mifugo, uliyoandaliwa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Pinda ataka uwekezaji zaidi ufugaji wa asali

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametaka kuongezwa kwa uwekezaji katika eneo la uzalishaji asali ili sekta hiyo itoe mchango unaostahili katika uchumi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Nchini (TABEDO) juzi, Pinda alisema sekta hiyo ikipewa kipaumbele zaidi uzalishaji utaongezeka na hivyo kutoa mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kutokana na Tanzania kuwa na maeneo mengi yanayofaa kwa ajili ya ufugaji nyuki.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika

PG4A9309

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9594

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia  wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.

PG4A9553

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Tanzania yashuka viwango kibiashara

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Tanzania imeshuka kwa nafasi tisa katika orodha ya nchi zinazofanya biashara duniani zilizopo kwenye viwango vya Benki ya Dunia (WB) na kwa sasa inashika nafasi ya 145 kati ya nchi 189.

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete ataka NHC ipewe uhuru zaidi kibiashara

Rais Jakaya Kikwete amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa ujenzi wa nyumba bora na kusema shirika hilo litapata maendeleo zaidi ikiwa litaruhusiwa kuuza nyumba linazojenga kwa wageni.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wajumbe wa Chama cha kuendeleza ufugaji Nyuki Tanzania watembelea shamba la Pinda Dodoma

IMGS9249

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu  siku moja baada ya kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka urais

WAKATI makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakitumikia adhabu ya mwaka mmoja kwa kosa la kuanza kampeni za urais wa 2015 kabla ya muda, Waziri Mkuu Mizengo Pinda naye...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda ataka subira

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema suala la kumtaka ajiuzulu wadhifa wake si jipya, lakini akasema ni vyema kusubiri mjadala wa Bunge wa sakata la Tegeta Escrow ufike mwisho, ndipo hatua stahiki zitajulikana.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda ataka migogoro imalizwe Katavi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Katavi kutatua tatizo lililopo la mgogoro wa Kitongoji cha Mnyamasi kulifanya kuwa eneo la uwekezaji lipatiwe ufumbuzi ndani ya miezi mitatu.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ataka majibu ndani ya saa 30

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu, ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya, hayajafanyiwa kazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani