Wajumbe wa Chama cha kuendeleza ufugaji Nyuki Tanzania watembelea shamba la Pinda Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu siku moja baada ya kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Oct
Chama cha ufugaji nyuki kuzinduliwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, leo anatarajiwa kuzindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji wa Nyuki Tanzania (TABEDO). Uzinduzi wa TABEDO unafanyika kutokana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kufanyia kazi agizo la Waziri Mkuu Pinda la kuanzishwa kwa umoja wa wafugaji nyuki nchini.
10 years ago
Dewji Blog18 Nov
Wadau waliohudhuria kongamano la Nyuki mjini Arusha, watembelea shamba la darasa la Nyuki wilayani Ikungi
Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Nyuki Gladness Mkanda,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mahambe wilaya ya Ikungi muda mfupi baada ya kuongoza wadau wa nyuki kutoka sehemu mbalimbali duniani,kutembelea shamba darasa la ufugaji bora wa nyuki linalomilikiwa na shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI).Mkamba alitoa wito kwa wananchi kujiunga katika vikundi vya ufugaji Nyuki ili waweze kujikomboa kiuchumi.
Meneja wa shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI), Jonathani Njau,...
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Pinda azindua Chama cha Wafugaji Nyuki
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Tanzania kwenye hoteli ya Morena mjini Dodoma Oktoba 30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Viongozi wa Anglican watembelea shamba la Waziri Mkuu Zuzu Dodoma kujifunza kilimo bora cha Zabibu na Embe
10 years ago
MichuziUJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
10 years ago
MichuziTANZANIA KUWA MWENYEJI WA KONGAMANO LA WATAFITI WA UFUGAJI NYUKI BARANI AFRIKA
Kongamano hilo linatajiwa kuhudhuriwa na washiriki 550 ambapo kati yao Watanzaniani 250 na wageni kutoka nje ya nchi wanatarajia kuwa 300. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Jumanne (Septemba 16, 2014), Jijini Dar esSaalaam, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania katika Wizara ya ...
5 years ago
MichuziKAILIMA ATEMBELEA OFISI ZA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA (CCWT) DODOMA KUONA MWENENDO WA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA CHAMA HICHO
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akitoa maelekezo ya Serikali kwa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) hawapo pichani, baada ya kukuta Ofisi zao zikiwa zimefungwa na hakuna maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho. Kailima, ameelekeza Wanachama wote wanaotaka kushiriki kwenye Mkutano wa...
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Chama cha ushirika SYCCOS chawapiga msasa wafugaji nyuki wa Mkoa wa Singida
Pichani ni Rais wa SYCCOS, Philemon Kiemi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha) juu ya semina ya siku mbili ya wadau wa nyuki zaidi ya 500 wa Mkoa wa Singida, Semina iliyoanza jana na kutarajiwa kumalizika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Tatala Beach hotel mjini hapa.
Na Nathaniel Limu, Singida
CHAMA cha Ushirika na Ujasirimali cha Vijana waliomaliza vyuo vikuu (SYCCOS) mkoani Singida kinaendesha semina ya siku mbili kwa wadau zaidi ya 500 wanaojishughulisha na...