Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau waliohudhuria kongamano la Nyuki mjini Arusha, watembelea shamba la darasa la Nyuki wilayani Ikungi

DSC02197
Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Nyuki Gladness Mkanda,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mahambe wilaya ya Ikungi muda mfupi baada ya kuongoza wadau wa nyuki kutoka sehemu mbalimbali duniani,kutembelea shamba darasa la ufugaji bora wa nyuki linalomilikiwa na shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI).Mkamba alitoa wito kwa wananchi kujiunga katika vikundi vya ufugaji Nyuki ili waweze kujikomboa kiuchumi.

DSC02184

Meneja wa shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI), Jonathani Njau,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wajumbe wa Chama cha kuendeleza ufugaji Nyuki Tanzania watembelea shamba la Pinda Dodoma

IMGS9249

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu  siku moja baada ya kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA UFUGAJI NYUKI JIJINI ARUSHA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa jamii ya Wadzabe kutoka wilayani Karatu,mkoa wa Arusha leo wakati wa Kongamano la siku tatu la Wadau wa Ufugaji Nyuki barani Afrika na Mazao ya Asali linalofanyika jijini Arusha. Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mazao yanayotokana na ufugaji wa Nyuki kwenye banda la Wajasiriamali kutoka wilayani Kibondo mkoa wa Kigoma. Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu leo wakati ...

 

10 years ago

Michuzi

Kongamano la Ufugaji nyuki Barani Afrika kufanyika Jijini Arusha

 Kaimu Mkurugenzi wa Wizara ya Maliasili na Utalii (Kitengo cha Misitu na Nyuki),Bi. Gladnes Mkamba akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu uwepo wa Kongamano la Ufugaji nyuki Barani Afrika linalotarajiwa kufanyika nchini kuanzia Novemba 11 - 16,2014 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC),jijini Arusha.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Misitu kutoka Wakala wa Misitu Tanzania,Bw. Zawadi Mbwambo.Picha na Othman Michuzi.Kaimu Mkurugenzi Mwandamizi wa Wizara ya Maliasili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika

PG4A9309

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9594

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia  wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.

PG4A9553

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA KONGAMANO LA WATAFITI WA UFUGAJI NYUKI BARANI AFRIKA

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa kongamano la watafiti na wanasayansi wa sekta ya ufugaji nyuki Barani Afrika linalotarajiwa kufanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 11 hadi 16 Novemba mwaka huu.
Kongamano hilo linatajiwa kuhudhuriwa na washiriki 550 ambapo kati yao Watanzaniani 250 na wageni kutoka nje ya nchi wanatarajia kuwa 300. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Jumanne (Septemba 16, 2014), Jijini Dar esSaalaam, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania katika Wizara ya ...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Nyalandu azindua tovuti ya Kongamano la Kwanza la Ufugaji Nyuki Afrika mwaka 2014

 Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akijisajili kushirikia kwenye tovuti ya Kongamano la Kwanza la Ufugaji Nyuki Afrika mwaka 2014, kama ishara ya kuzindua tovuti hiyo, shughuli iliyofanyika  kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maimuna Tarishi na Msemaji wa Wizara Nurdin Chamuya.
 Baadhi ya washiriki wa uzinduzi huo Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizungumza na hadhiri wakati...

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuongeza uzalishaji nyuki

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa ameziagiza halmashauri za wilaya za mkoa huo, kuhakikisha kuwa kila kikundi cha ufugaji nyuki kinafikisha mizinga 100 na kinachukua hatua za kuzuia uharibifu wa mazingira, ukiwemo ukataji wa miti .

 

9 years ago

Habarileo

Stone Town yaifunga Nyuki

MASHINDANO ya Mpira wa Kikapu ya Kombe la Karume yamefunguliwa juzi jioni katika uwanja wa Gymkhana kwa mchezo uliowakutanisha Stone Town na Maafande wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) timu ya Nyuki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani