Waziri Nyalandu azindua tovuti ya Kongamano la Kwanza la Ufugaji Nyuki Afrika mwaka 2014
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akijisajili kushirikia kwenye tovuti ya Kongamano la Kwanza la Ufugaji Nyuki Afrika mwaka 2014, kama ishara ya kuzindua tovuti hiyo, shughuli iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maimuna Tarishi na Msemaji wa Wizara Nurdin Chamuya.
Baadhi ya washiriki wa uzinduzi huo
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizungumza na hadhiri wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...
11 years ago
Michuzi
Kongamano la Ufugaji nyuki Barani Afrika kufanyika Jijini Arusha


11 years ago
Michuzi.jpg)
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA KONGAMANO LA WATAFITI WA UFUGAJI NYUKI BARANI AFRIKA
Kongamano hilo linatajiwa kuhudhuriwa na washiriki 550 ambapo kati yao Watanzaniani 250 na wageni kutoka nje ya nchi wanatarajia kuwa 300. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Jumanne (Septemba 16, 2014), Jijini Dar esSaalaam, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania katika Wizara ya ...
10 years ago
Michuzi12 Nov
WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA UFUGAJI NYUKI JIJINI ARUSHA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Nov
Wadau waliohudhuria kongamano la Nyuki mjini Arusha, watembelea shamba la darasa la Nyuki wilayani Ikungi
Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Nyuki Gladness Mkanda,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mahambe wilaya ya Ikungi muda mfupi baada ya kuongoza wadau wa nyuki kutoka sehemu mbalimbali duniani,kutembelea shamba darasa la ufugaji bora wa nyuki linalomilikiwa na shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI).Mkamba alitoa wito kwa wananchi kujiunga katika vikundi vya ufugaji Nyuki ili waweze kujikomboa kiuchumi.
Meneja wa shirika la Future Development Initiatives (Fu-DI), Jonathani Njau,...
10 years ago
GPL
STORI 10 ZILIZOBAMBA KUTOKA TOVUTI YA GLOBAL PUBLISHERS MWAKA 2014
11 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA TAASISI YA UONGOZI YA AFRIKA MASHARIKI KWA MWAKA 2014
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Faida za kiuchumi za ufugaji nyuki
UFUGAJI nyuki nchini hufanyika kwenye misitu na mapori ya akiba na asilimia ndogo hufanyika katika maeneo ya kilimo. Wananchi waishio jirani na maeneo ya hifadhi za misitu na baadhi ya...
10 years ago
Habarileo30 Oct
Chama cha ufugaji nyuki kuzinduliwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, leo anatarajiwa kuzindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji wa Nyuki Tanzania (TABEDO). Uzinduzi wa TABEDO unafanyika kutokana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kufanyia kazi agizo la Waziri Mkuu Pinda la kuanzishwa kwa umoja wa wafugaji nyuki nchini.